Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajua ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu??? Boyfriend wako anajuaje na hamjadu ze nidiful??? Wewewe kuwa makinii alooohhh
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. basi toka cku iyo cmwelew mana cku iliyofuata tuu aliniletea engagement ring "nliikubali mana i waz on shock", ananipigia cm mara kwa mara ckuizi more than b4 n he real spy on me kumake sure ctembei na m2. sasa swali linakuja "JE ANANIPENDA KWELI AU NDO ANATAKA ANICHAKACHUE?"

thanx guys kwa ushauri wenu!

Pamoja na kwamba pengine ni dhambi, lakini kuoa mwanamke bikira ni hatari sana hasa hawa wanaopitia kwenye JF na mitandao mingine. Kuna hadithi za ajabu sana humu kiasi ambacho huyo aliyeolewa bikira atataka kujaribu mambo tofauti aliyosikia humo ambayo mme wake hana.
Kuna demu humu kashangaa sana hapa juzi kuwa mwanaume anaweza ku do na mwanamke dakika 45 kabla ya kushusha mzigo, hatari yake anatamani aone maana mme wake yeye eti ni 5 to 8 or 10 dakika.
Acha bikira zitolewe huko primary na secondary mkija kwenye ndoa muwe tayari ok, lakini si vizuri ukafanywa jamvi la kijiji/shule/mtaa/mji. CV yako isije kuwa mbaya sana.
kama xperience inahitajika wale fresh from school ndo inakuwaje?, hii sio applicatino ya kazi ujue! ni mapenzi!!!!experience inahitajika katika kila sehemu siku hizi,unaweza kuwa na cheti kizuri lakini ukawa hufai kwa kukosa experience,vivyo hivyo kwa mwanamke,kujitangazia bikra ni kutangaza kuwa huna kabisa experience ya mapenzi,una rumors 2 za mapenzi!wa2 wengi wanataka vi2 ambavyo vipo tayari kwa matumizi!
hata mie natafakari bila majibu hapa! bikira sijui wanazitaka au hawazitaki:A S-confused1:Kuna kitu kimenishangaza kwene hili, Wanaume walewale waliosema mtu akiolewa bila bikira anachukuliwa alikuwa malaya ndo hao hao wanasema. Bikira ya nini??
Haya wababa/wakaka, jpili njema.
kama xperience inahitajika wale fresh from school ndo inakuwaje?, hii sio applicatino ya kazi ujue! ni mapenzi!!!!
atangaze nia mara ngapi, si engagement alitoa siku moja baada kuambiwa binti ana seal!Hakikisha unayafanyia kazi sio unamwachia jamaa anakata seal kilaini mbanie mpaka atangaze NIA
yawezekana anayo na hajafanya mapenzi kweli, ila kati kundi la mabinti 100 wa leo unapata m1 wa hivi au hata usipate kabisaKati umri huo alio nao ni kweli hana bikra au hajawahi fanya mapenzi?
yawezekana anayo na hajafanya mapenzi kweli, ila kati kundi la mabinti 100 wa leo unapata m1 wa hivi au hata usipate kabisa
Hiyo bikra kweli unayo au ndo kuuza sura tu jukwaani hapa?
Una uhakika ipo na nani alikupima na akaiona?
Aseme toka azaliwe hajafanya matusi tutamwelewa lakini bikra mpaka ukubwani sidhani kama bado ipo
atangaze nia mara ngapi, si engagement alitoa siku moja baada kuambiwa binti ana seal!
habari ya j2
yawezekana anayo na hajafanya mapenzi kweli, ila kati kundi la mabinti 100 wa leo unapata m1 wa hivi au hata usipate kabisa
Njema mama kwema lakini?
Huyo anatangaza nia ya kuoa hapo anataka amege alafu aaangalie je kitu used au new