Hata jews sio wote wanafuata mila zao mzee.
Ni wanadamu kama sisi wanakunya, kukojoa, wanakula na kila kitu, tofauti no mindsets tu, vipaumbele n.k.
Hata Africa kulikuwa na manabii mitume na watu wenye vipawa vya ajabu ndio maana nikasema tulipofail ni ku document vitu, mfano kuna mitishamba walitumia wazee ilipaswa viwe documented, historia zao pia ziwe documented ndio maana mtume katika uislamu kilikuwako na watu ambao wali document kila jambo, Yesu pia kuna watu wali document kila alilofanya ndio tunasikia Agano jipya.
Tuwe na desturi ya ku document vitu, inasaidia sana.