Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

Wenzetu walichotuzidi ni ku document vitu.

Ila hata Africa kuna wazee wetu walifanya maajabu kama Mussa au pengine zaidi.
Mussa hakuwa Mwafrika, ni kizazi cha wakimbizi wayahudi.
Kwani sheria za uhamiaji zinasemaje kuhusu mtoto wa mkimbizi juu ya uraia wake?
 
Hizo ni alama zimebaki tu na nishakwambia wote wamebakisha alama,

Ivi wewe unawafahamu waroma, ivi unajua jinsi walivyokuwa wakiishi kwa tamaduni zao? Unafahamu mavazi yao official waliyokuwa wakivaaa, ivi unafahamu umiliki wao wa watumia, Embu nionyeshe watu wanaofwata angalau sehemu Ya tamaduni hizo na kujiita waroma.

Kitu kilichopelekea chuki juu ya israel hawa watu hawachanganyiki kabisaa wakienda sehemu labda nyinyi ndio mtakopy tamaduni zao. Na sio vise versa nadhani umetairi Embu jiulize kwa nini ulikatwa hivi?
Na kama ulibahatika kugraduate chuo, ile kofia Ya mraba na joho unadhani ni utamaduni wa nani?
We unachekesha.
Jamii nyingi zimeiga tamaduni za jamii nyingine mfano kwenye mavazi, chakula, malezi n.k

Kwani jews wa kwenye bible walipokuwa wanavaa kanzu leo hii wanavaa kanzu na viatu vya kamba?

Haata Roma walibadilika.

Kwani kina Benjamin Netanyahu wanavaa suti kwani suti ni utamaduni wa nchi gani?

Hivi sasa wamepitisha sera ya ushoga, je serikali zao nyuma waliutambua ushoga?

Jews ni watu kama sisi, wamechanganyikana na jamii nyingine wameolewa na kuoa, wengine ni wanaigiza porno n.k

Usiwabague kiasi hiko kuwafanya they are so special..

Ukitaka watu waliotunza tamadunj na lifestyle kuna jamii zinaishi misituni mfano Amazon kuna kabila flani hadi leo nguo hawavai wanawinda wanyama wanakula.
 
Labda ila kwa uimaraa wale watu hawafutiki kabisaa, lugha yao mpaka leo ipo wakati huku afrika mfano Tanzania makabila mengi yanapoteza lugha yao kwa kasi Ya ajabuu kama mimi watoto wangu hawataweza kuongea kikwetu kabisa.
Wajinga tu waafrica wanapenda sana kushupalia za wazungu!
 
Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao.

Kisa cha kwanza punda kuongea.

Baalam
wakati wana wa Israel wametoka Utumwani misri wanaelekea taifani mwao waliweka kambi pembezoni mwa mto jordan eneo la Moab. Mfalme wa Moab Balak alivyowaona wana wa Israel jinsi walivyo fiti pia alisikia story jinsi walivyowatandika falme jirani akaona apa siwezi kuwavamia kuwafukuza ila nina mtaalam inabidi nimtume aende kuwalaani.

Mwamba mwenyewe mfalme aliyemfwata alikuwa anaitwa Balaam, huyu jamaa hakuwa wa mtu wa kawaida yeye alikuwa kama antena ya kukamata nguvu za kiroho. Baada ya kupewa tenda mwamba akapanda punda wake huyo akawa anaelekea kutoa laana. Mara ya kwanza wakiwa njiani punda akamwona makaika yupo na upanga ikabidi punda kuacha njia kaingia kichakani, jamaa kumpiga punda mara ya pili malaika yupo katikati ya barabara punda ikajibana pembeni na kupelekea kugandamiza mguu wa mtaalamu, jamaa kampiga tena na mara ya tatu kwenye uchochoro malaika kachomoa upanga, tujue mara zote ni punda tu ndiye aliyekuwa akimwona malaika kwa hii mara ya tatu punda akabidi agome kuendelea na safari. Ndipo Baalam akanza kumpiga kitendo kilichomfanya punda kuropoka

" Nimekufanyia nini mpaka unipige mara hizi tatu"

Kwa Kufupisha tu jamaa wanakwambia alianguka kifood fudi sura kailaza flat kwenye mchanga.. Mwisho wa siku akaenda kuwabariki Israel mara tatu...

Hatarii sana

Kisa cha pili kinamhusu Friedrich Nietzsche

huyu mwanaphilosophy wa kijerumani ambaye vitabu vyake vilitumiwa na wa Nazi kimakosa kufanikisha kujenga chuki kwa wayahudi. Ni miaka ya majuzi tu 1889 jamaa akiwa anatembea zake mtaani ghafla akashuhudia farasi akichapwa mijeledi hapo hapo jamaa alianza kulia kwa maumivu makubwa huku akizuia farasi asipigwe huku akisema anajua machungu anayoyasikia farasi huku akimkumbatia farasi akimpa pole na kuongea nae. Tokea siku hiyo jamaa akawa sio yeye tena akawa mwehu.

Inatisha sana, sasa kama wewe bado unaendelea kukaza shingoo hayaa endelea tu ila juaa Israel habeep anakupigia.
Wafia dini hawatakuelewa bado wanaamini Allah atawasaidia kulifuta taifa la israel
 
Back
Top Bottom