Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

Tukienda historically, Adolf Hitler aliuwa Waisraeli zaidi ya Million 5. Je, yeye wakati anatimiza hayo mauaji kwa watu wateule Mungu wao alikuwa wapi?
Over..
Kuna mipango mikubwa Ya Mungu.... Hilter alitumikaa tu kufanikisha kuundwa taifa la Israel bila hilter mpaka leo wayahudi wangekuwa wamelowea nchi za a mataifa mengine.
 
Tukienda historically, Adolf Hitler aliuwa Waisraeli zaidi ya Million 5. Je, yeye wakati anatimiza hayo mauaji kwa watu wateule Mungu wao alikuwa wapi?
Over..
Yaani Nadharia ya Mungu iliitengenezwa such that Mungu akosei.

Jibu lake huwa "Mungu aliruhusu, wateseke ili awape nchi".

Watu waliounda Biblia walikuwa smart sana
 
Yaani Nadharia ya Mungu iliitengenezwa such that Mungu akosei.

Jibu lake huwa "Mungu aliruhusu, wateseke ili awape nchi".

Watu waliounda Biblia walikuwa smart sana
Kwahiyo Mungu alimtengeneza Hitler aje kuwaua wayahudi milioni 5.?
 
Kwenye hizi vita MTU akija na Ngano na myth za sijui bible sijui Quran kwangu waga namuona ni mpumbavu TU

Hata usome mpaka uwe na PhD lla Kama umeshika hivi vitabu viwili ukashindwa kua na critical thinking skills Bado utakua mpumbavu TU
Pole sana jifunze kuwaza critical kwa reference.. Na kwa taarifa yako bible ndio kitabu cha kwanza mawaxo yote yaba reference kutuka kwenye bibilia. utashi wote wa mwanadamu unaanzia kwenye bibilia.
 
Yaani Nadharia ya Mungu iliitengenezwa such that Mungu akosei.

Jibu lake huwa "Mungu aliruhusu, wateseke ili awape nchi".

Watu waliounda Biblia walikuwa smart sana
Brother God work ni mysterious ways
 
Wamasai wanaokuja mjini watoto wao
Hata jews sio wote wanafuata mila zao mzee.
Ni wanadamu kama sisi wanakunya, kukojoa, wanakula na kila kitu, tofauti no mindsets tu, vipaumbele n.k.

Hata Africa kulikuwa na manabii mitume na watu wenye vipawa vya ajabu ndio maana nikasema tulipofail ni ku document vitu, mfano kuna mitishamba walitumia wazee ilipaswa viwe documented, historia zao pia ziwe documented ndio maana mtume katika uislamu kilikuwako na watu ambao wali document kila jambo, Yesu pia kuna watu wali document kila alilofanya ndio tunasikia Agano jipya.

Tuwe na desturi ya ku document vitu, inasaidia sana.
 
Kuna mipango mikubwa Ya Mungu.... Hilter alitumikaa tu kufanikisha kuundwa taifa la Israel bila hilter mpaka leo wayahudi wangekuwa wamelowea nchi za a mataifa mengine.
Hivi unajua kama baada ya nchi ya Israel kuanzishwa, ni waisrael wachache sana ndo walienda kuishi hapo wengine walitapakaa nchi tofauti tofauti kwasababu ndo kuna amani?
 
Pole sana jifunze kuwaza critical kwa reference.. Na kwa taarifa yako bible ndio kitabu cha kwanza mawaxo yote yaba reference kutuka kwenye bibilia. utashi wote wa mwanadamu unaanzia kwenye bibilia.
Hahaha unafurahisha hivi kwenye ubongo wako unawaza bible Ndio kitabu Cha kwanza like seriously? U have long way to go jipe time ujifunze kuhusu Buddhism, Shinto na article za Confucianism maarifa ni mengi out there but wisdom ni kuyachuja
 
Ni kweli unachosema kuhusu kudocument na hicho ndio kitu kinachoonyesha utofauti wa jew na watu wa mataifa Ya Africa.

Hata hivyo tukumbuke siyo wao tu waliokuwa na uwezo wa kuandika katika zama hizo za kale. Kuna mataifa kama egypt, wagiriki, wababilon, warumi na wengineo cha kushangaza wote wamefutika! Hawapo ili zimebaki alama zao tu. Sasa ujiulize kwa nini hawo mbali na kujua kuandika wamefutika?
 
Wamefutika kivipi au katika upande upi?
 
Hahaha unafurahisha hivi kwenye ubongo wako unawaza bible Ndio kitabu Cha kwanza like seriously? U have long way to go jipe time ujifunze kuhusu Buddhism, Shinto na article za Confucianism maarifa ni mengi out there but wisdom ni kuyachuja
Ndio vitabu vipo vingi vya kale, kwa sisi waafrika tumeasili tamaduni wa western ambao bibilia ndo kitabu number moja alafu vingine vinafwata. Kama wewe unafwata vitabu vya wala nyoka na konokono sawa endelea kupotea
 
Yes Israel is Africa sio ma zionist
 
Hawapo kwenye uso wa dunia yamebaki majengo yao
Warumi sio ndio hawa wamesambaa dinia nzima wakijiita Roman Catholic, warumi si ndio ilikuwa dola ya Roma, kwani Roma haipo leo?

Wababiloni ndio hao wapo hapo middle east Iraq, syria na maeneo ukanda huo..

Egyptians kwani hawapo?

Hata Israel yenyewe sasa hivi ndipo wanajitafuta walikuwa hawana hata pa kukaa, wamerudi kwenye hilo eneo juzi tu 1945, wakati hata sisi waTanzania mwaka 1905 babu zetu kina Kinjekitile wanapambana kumtoa mkoloni wao hawana pa kukaa.

Wao ndio wamepote zaidi ukilinganisha na ukubwa wa dola yao ilivyokuwa.
 
Hizo ni alama zimebaki tu na nishakwambia wote wamebakisha alama,

Ivi wewe unawafahamu waroma, ivi unajua jinsi walivyokuwa wakiishi kwa tamaduni zao? Unafahamu mavazi yao official waliyokuwa wakivaaa, ivi unafahamu umiliki wao wa watumwa, Embu nionyeshe watu wanaofwata angalau sehemu Ya tamaduni hizo na kujiita waroma.

Kitu kilichopelekea chuki juu ya israel hawa watu hawachanganyiki kabisaa wakienda sehemu labda nyinyi ndio mtakopy tamaduni zao. Na sio vise versa nadhani umetairi Embu jiulize kwa nini ulikatwa govi?
Na kama ulibahatika kugraduate chuo, ile kofia Ya mraba na joho unadhani ni utamaduni wa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…