Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

Wenzetu walichotuzidi ni ku document vitu.

Ila hata Africa kuna wazee wetu walifanya maajabu kama Mussa au pengine zaidi.
Mussa hakuwa Mwafrika, ni kizazi cha wakimbizi wayahudi.
Kwani sheria za uhamiaji zinasemaje kuhusu mtoto wa mkimbizi juu ya uraia wake?
 
We unachekesha.
Jamii nyingi zimeiga tamaduni za jamii nyingine mfano kwenye mavazi, chakula, malezi n.k

Kwani jews wa kwenye bible walipokuwa wanavaa kanzu leo hii wanavaa kanzu na viatu vya kamba?

Haata Roma walibadilika.

Kwani kina Benjamin Netanyahu wanavaa suti kwani suti ni utamaduni wa nchi gani?

Hivi sasa wamepitisha sera ya ushoga, je serikali zao nyuma waliutambua ushoga?

Jews ni watu kama sisi, wamechanganyikana na jamii nyingine wameolewa na kuoa, wengine ni wanaigiza porno n.k

Usiwabague kiasi hiko kuwafanya they are so special..

Ukitaka watu waliotunza tamadunj na lifestyle kuna jamii zinaishi misituni mfano Amazon kuna kabila flani hadi leo nguo hawavai wanawinda wanyama wanakula.
 
Labda ila kwa uimaraa wale watu hawafutiki kabisaa, lugha yao mpaka leo ipo wakati huku afrika mfano Tanzania makabila mengi yanapoteza lugha yao kwa kasi Ya ajabuu kama mimi watoto wangu hawataweza kuongea kikwetu kabisa.
Wajinga tu waafrica wanapenda sana kushupalia za wazungu!
 
Wafia dini hawatakuelewa bado wanaamini Allah atawasaidia kulifuta taifa la israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…