Uchaguzi 2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

Mandalizi yalianza mapema mwaka 2015 kwa "watu wasio julikana kuzima mishumaa ya Azory, ben saa nane, Lissu na wenzao
 
Mandalizi yalianza mapema mwaka 2015 kwa "watu wasio julikana kuzima mishumaa ya Azory, ben saa nane, Lissu na wenzao
Mambo ya polisi hayo. Hayahusiani kabisa na mzalendo namba moja kuchapa kazi na kujenga imani kwa wananchi. Wewe kama una clue kuhusu huo uhalifu nenda polisi kawasaidie upelelezi.
 
Mimi simpi kura JPM so ondo hiyo 100% hapo juu!Pia usiwasemee wengine,jisemee wewe!
 
JPM hawezi siasa za ushindani, kikubwa alicho nacho ni kiburi cha madaraka. Uchaguzi wa mwaka huu bila tume huru ya uchaguzi, ni kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi anapokuwa anataka madaraka.
tindo
Umeongea ukweli mtupu......

Huyu jamaa tegemeo lake kubwa lipo kwenye vyombo vya dola, hususani Jeshi la Polisi na TISS

Siku hivyo vyombo vitakapofanya kazi kwa weledi, kama vinavyotakiwa kufanya ndani ya Katiba ya nchi, siku hiyo hiyo CCM ijiandae kukabidhi madaraka........

Hata Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally, alilikiri hilo hadharani!
 
mwaka huu uchaguzi utakuwa chini uangalizi wa USA, EU, taasisi za fedha za kimataifa na wadau wa maendeleo.

hakuna figisu za tume feki na bila tume feki chama chetu CCM hakiwezi kupata hata 40%. kamuulize Polepole!
 
mwaka huu uchaguzi utakuwa chini uangalizi wa USA, EU, taasisi za fedha za kimataifa na wadau wa maendeleo.

hakuna figisu za tume feki na bila tume feki chama chetu CCM hakiwezi kupata hata 40%. kamuulize Polepole!
Miaka yote hao waangalizi wa kimataifa huwa wanakuwepo .
 
Kwa mara ya kwanza katika historia ya uchaguzi wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu unafanyika nchi ikiwa na vyama vya upinzani dhaifu kuliko wakati mwingine wowote. Hauna agenda inayoihusu jamii zaidi ya malalamiko na kufitini nchi huko ughaibuni. Ninaamini Rais MAGUFULI kwa kazi na mageuzi makubwa aliyoyasimamia watanzania tuliowengi tutamrejesha kwa kishindo. #T2020JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kukuambia fuatilia vizuri ni mara ngapi aliwahi kushinda kwa kura, na ni mara ngapi alishinda kwa mizengwe.
Mtu alikuwa anapita bila kupingwa ndani ya chama chake,mizengwe ilikuwa inatoka wapi?
 
Kwa hivyo hii tume imeundwa juzijuzi baada ya JPM kuchukuq madaraka?

Alafu ni ujuha kuota tume huru miezi 5 kabla ya uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kilio cha tume huru kilianza toka mfumo wa vyama vingi virudi hapa nchini. Alipochukua madaraka yeye ndio ushenzi wa wazi usiovumilika umeshika kasi. Kama unadhani ilianza kudaiwa miezi mitano kabla ya uchaguzi, basi rudi ukamuulize Polepole ni madai ya lini.
 

Unadhani ukisema sasa hivi vyama vya upinzani ni dhaifu ndio utageuza ukweli uliopo? Ukweli ni kuwa chini ya Magufuli kuna siasa za matumizi mabaya ya madaraka, hivyo kupelekea kuzuia vyama vya upinzani kutumia haki yao ya kikatiba kufanya siasa. Hamna mageuzi yoyote aliyoyafanya zaidi ya kuweka pesa yote kwenye miundombinu. Huenda hujui mageuzi ni nini. Kunyima uhuru wa kujieleza, na kuzuia uwazi hakuwezi kuwa mageuzi zaidi ya kusaka kuabudiwa.
 
Huo ni mtazamo wako, ndio maana alivyopata 58% ni kipimo kuwa chama chake kilikuwa kimechafuka. Lakini kwa kuwa amekisafisha na amepiga kazi ya nguvu nafikiri 100% anayo. Maana hata upinzani hawna hata wa kusimama nae.
 
Pigia simu wanaccm wenzako wenye uthubutu wa kusema ukweli, waulize alishinda mara ngapi kwa box la kura akiwa mbunge. Hatubahatishi tunachokuambia.
Kama ulishawahi kuforce kuwa mawakala wa chadema walishikiwa bunduki kusaini fomu kwa nini nisicheke.
 
Miaka yote hao waangalizi wa kimataifa huwa wanakuwepo .
mwaka huu wanakuja kivingine.

wewe kama ni mmoja wa team watesi chini ya awamu hii nakushauri uanze kuandaa mtumbwi wa kukupeleka Comoro mwezi November kabla hajaapishwa mkombozi, ama vipi utapiga mbizi bila kupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…