Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #21
Si ungeenda mtaa wa ufipa kuwauliza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ungeenda mtaa wa ufipa kuwauliza?
We subiri uone.Asilimia 100 haiwezekani..
Mandalizi yalianza mapema mwaka 2015 kwa "watu wasio julikana kuzima mishumaa ya Azory, ben saa nane, Lissu na wenzaoUkilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi.
Ukaja uchaguzi wa mwaka 2002 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda bila kuwa na misukosuko kama ya mwaka 1995. Maana hata Nccr Mageuzi ilikuwa imeshatetereka.
Na hii ni baada ya CCM kujaribu kurekebisha makosa yake na kutekeleza ilani yake vizuri. Maana hiki ndicho kipindi hata miundo mbinu mingi ilianza kujengwa, mfano barabara ya kuelekea kusini na daraja la mkapa ambalo lilikuwa kero.
Na hiki ndio kipindi aliyekuwa waziri wa Ujenzi wakati huo maarufu kama askari wa mwamvuli alidiriki kusema, watu watapanda taxii toka mtwara mpaka Bukoba mkoani kagera.Kwa hiyo CCM ilijrekebisha hadi baadhi ya nchi wahisani walidiriki kufuta madeni ya nchi yetu maana hata uwazi na ukweli katika matumizi ya pesa ya umma ulibadilika tofauti na awamu iliyopita.
Uchaguzi wa 2005 CCM iligawanyika tena sana. Na wajanja wachache wakatengeneza mtandao na mgombea wao akachukua nchi.Na hawakupata upinzani mkali sana.
Uchaguzi wa wa 2010 ulikuwa mgumu kiasi kwa CCM maana sio siri watu walifanya ufisadi mbaya sana. Nchi ilikuwa kama ya kundi fulani ambao wao ni kujichotea pesa tu. Maana stori zilikuwa ni Epa,Escrow n.k
Uchaguzi wa 2015 ulikuwa na ugumu kiduchu kwa CCM maana ilikuwa imechafuliwa na watu wabaya. Na hapo ndipo busara ikatumika ili kumuweka mgombea ambae ni msafi, hata fomu alichukua kimya kimya na hata kuzunguka kwenda kutafuta wadhamini mikoani alienda kimya kimya.
Kwa uzalendo wake alionao alipochaguliwa tu akaanza kudhibiti ubadhirifu na ufisadi,akaanza kujenga Zahanati,vituo vya afya,madaraja na miradi kama Sgr na JNHHP. Na kwa mantiki hiyo akawa ameua kabisa nguvu za upinzani.
Maana wao ili wapate umaarufu ni kuibua ufisadi tu,sasa hizo habari hazipo.
Uchaguzi wa mwaka huu 2020 kwa ngazi ya urais JPM anakwenda kushinda kwa 100%/ ni kama tembo anakanyaga sisimizi.
Mambo ya polisi hayo. Hayahusiani kabisa na mzalendo namba moja kuchapa kazi na kujenga imani kwa wananchi. Wewe kama una clue kuhusu huo uhalifu nenda polisi kawasaidie upelelezi.Mandalizi yalianza mapema mwaka 2015 kwa "watu wasio julikana kuzima mishumaa ya Azory, ben saa nane, Lissu na wenzao
tindoJPM hawezi siasa za ushindani, kikubwa alicho nacho ni kiburi cha madaraka. Uchaguzi wa mwaka huu bila tume huru ya uchaguzi, ni kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi anapokuwa anataka madaraka.
mwaka huu uchaguzi utakuwa chini uangalizi wa USA, EU, taasisi za fedha za kimataifa na wadau wa maendeleo.Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi.
Ukaja uchaguzi wa mwaka 2002 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda bila kuwa na misukosuko kama ya mwaka 1995. Maana hata Nccr Mageuzi ilikuwa imeshatetereka.
Na hii ni baada ya CCM kujaribu kurekebisha makosa yake na kutekeleza ilani yake vizuri. Maana hiki ndicho kipindi hata miundo mbinu mingi ilianza kujengwa, mfano barabara ya kuelekea kusini na daraja la mkapa ambalo lilikuwa kero.
Na hiki ndio kipindi aliyekuwa waziri wa Ujenzi wakati huo maarufu kama askari wa mwamvuli alidiriki kusema, watu watapanda taxii toka mtwara mpaka Bukoba mkoani kagera.Kwa hiyo CCM ilijrekebisha hadi baadhi ya nchi wahisani walidiriki kufuta madeni ya nchi yetu maana hata uwazi na ukweli katika matumizi ya pesa ya umma ulibadilika tofauti na awamu iliyopita.
Uchaguzi wa 2005 CCM iligawanyika tena sana. Na wajanja wachache wakatengeneza mtandao na mgombea wao akachukua nchi.Na hawakupata upinzani mkali sana.
Uchaguzi wa wa 2010 ulikuwa mgumu kiasi kwa CCM maana sio siri watu walifanya ufisadi mbaya sana. Nchi ilikuwa kama ya kundi fulani ambao wao ni kujichotea pesa tu. Maana stori zilikuwa ni Epa,Escrow n.k
Uchaguzi wa 2015 ulikuwa na ugumu kiduchu kwa CCM maana ilikuwa imechafuliwa na watu wabaya. Na hapo ndipo busara ikatumika ili kumuweka mgombea ambae ni msafi, hata fomu alichukua kimya kimya na hata kuzunguka kwenda kutafuta wadhamini mikoani alienda kimya kimya.
Kwa uzalendo wake alionao alipochaguliwa tu akaanza kudhibiti ubadhirifu na ufisadi,akaanza kujenga Zahanati,vituo vya afya,madaraja na miradi kama Sgr na JNHHP. Na kwa mantiki hiyo akawa ameua kabisa nguvu za upinzani.
Maana wao ili wapate umaarufu ni kuibua ufisadi tu,sasa hizo habari hazipo.
Uchaguzi wa mwaka huu 2020 kwa ngazi ya urais JPM anakwenda kushinda kwa 100%/ ni kama tembo anakanyaga sisimizi.
Miaka yote hao waangalizi wa kimataifa huwa wanakuwepo .mwaka huu uchaguzi utakuwa chini uangalizi wa USA, EU, taasisi za fedha za kimataifa na wadau wa maendeleo.
hakuna figisu za tume feki na bila tume feki chama chetu CCM hakiwezi kupata hata 40%. kamuulize Polepole!
Kwa mara ya kwanza katika historia ya uchaguzi wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu unafanyika nchi ikiwa na vyama vya upinzani dhaifu kuliko wakati mwingine wowote. Hauna agenda inayoihusu jamii zaidi ya malalamiko na kufitini nchi huko ughaibuni. Ninaamini Rais MAGUFULI kwa kazi na mageuzi makubwa aliyoyasimamia watanzania tuliowengi tutamrejesha kwa kishindo. #T2020JPMtindo
Umeongea ukweli mtupu......
Huyu jamaa tegemeo lake kubwa lipo kwenye vyombo vya dola, hususani Jeshi la Polisi na TISS
Siku hivyo vyombo vitakapofanya kazi kwa weledi, kama vinavyotakiwa kufanya ndani ya Katiba ya nchi, siku hiyo hiyo CCM ijiandae kukabidhi madaraka........
Hata Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally, alilikiri hilo hadharani!
Alipokuwa mbunge kipindi chote alipita bila kupingwa.
Mtu alikuwa anapita bila kupingwa ndani ya chama chake,mizengwe ilikuwa inatoka wapi?Niliwahi kukuambia fuatilia vizuri ni mara ngapi aliwahi kushinda kwa kura, na ni mara ngapi alishinda kwa mizengwe.
Kwa hivyo hii tume imeundwa juzijuzi baada ya JPM kuchukuq madaraka?
Alafu ni ujuha kuota tume huru miezi 5 kabla ya uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu alikuwa anapita bila kupingwa ndani ya chama chake,mizengwe ilikuwa inatoka wapi?
Ok nijulishe ni uchaguzi gani wa ubunge ambao alishinda kwa mizengwe?Umeanza kujua siasa mwaka 2015 ndio maana huna lolote ujualo.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya uchaguzi wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu unafanyika nchi ikiwa na vyama vya upinzani dhaifu kuliko wakati mwingine wowote. Hauna agenda inayoihusu jamii zaidi ya malalamiko na kufitini nchi huko ughaibuni. Ninaamini Rais MAGUFULI kwa kazi na mageuzi makubwa aliyoyasimamia watanzania tuliowengi tutamrejesha kwa kishindo. #T2020JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nijulishe ni uchaguzi gani wa ubunge ambao alishinda kwa mizengwe?
Huo ni mtazamo wako, ndio maana alivyopata 58% ni kipimo kuwa chama chake kilikuwa kimechafuka. Lakini kwa kuwa amekisafisha na amepiga kazi ya nguvu nafikiri 100% anayo. Maana hata upinzani hawna hata wa kusimama nae.Kushinda aailimia 80 na kuendelea sio sifa..
Ni uthibitisho demokrasia hakuna ..
Wanaojielewa na kujiheshimu wakishinda Kwa asilimia 80 au zaidi wanajua ni kashfa kubwa..
Wala sio Jambo la kushangilia..
Taifa likiwa na mambumbumbu wengi ndo mtaona sio kashfa
Hata Mandela hakuwahi kupata asilimia 80
Achilia mbali hizo 100 mnazotafuta
Kama ulishawahi kuforce kuwa mawakala wa chadema walishikiwa bunduki kusaini fomu kwa nini nisicheke.Pigia simu wanaccm wenzako wenye uthubutu wa kusema ukweli, waulize alishinda mara ngapi kwa box la kura akiwa mbunge. Hatubahatishi tunachokuambia.
mwaka huu wanakuja kivingine.Miaka yote hao waangalizi wa kimataifa huwa wanakuwepo .