Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Mtoto wa Abdul Nassib (Diamond Platnumz) na Zuhura Othman (Zuchu) ndiyo kwanza ana siku kadhaa leo tayari anamilioni 700, ndugu zetu tonetone wanaojinasibu chama kinapendawa na Watanzani wanamwezi mzima wanatafuta milioni 300 na bado hazijatimia.
My take CHADEMA mkitaka mkieneze Chama kutoka Uchagani, Arusha na Ukuryani hebu igeni ile system ya CCM tena haina haja ya kuiga nyinyi wekeni mashina yenu ya nyumba 15 au 20 nchi nzima hii itasaidia na mwenyekiti na viongozi wa CHAMA ngazi hiyo watawasaidia sanaa…..
Katika mikutano yenu mnaona mnajaza Nyomi lakini hapana watu wanajitokeza kuja kushangaa watu wanaotukana mitandaoni ndiyo hawa? Mjikitite zaidi katika kukikuza Chama hadi ngazi ya Vitongoji na Kijiji kule ndiko wananchi wengi wapo pia Chama kisiwe cha mjini tuu kama ilivyo sasa. Huu ni Ushauri wangu mnaweza kuuchukua au kuachana nao.