Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Rasiliali sio uchumi peke yake mkuu. Raslimali pia huisha. Maendeleo ni mikakatiUko sahihi, sasa ndio watu 70m tena kwenye nchi mnayosema tuna raslimali kibao hadi wazungu wanatuonea wivu, tupewe msaada na nchi ndogo kama Sweden yenye watu chini ya 10m? Hiyo misaada sio kuwa hamuotaki, ila mmenyimwa. Hii jazba yako inaashiria hoja hii imekuumiza tofauti na ulivyokuja na madoido na kejeli kwenye post namba moja.