Tone tone IPO na inaendelea kukusanywa na ipo Salama.Mtoto wa Abdul Nassib (Diamond Platnumz) na Zuhura Othman (Zuchu) ndiyo kwanza ana siku kadhaa leo tayari anamilioni 700, ndugu zetu tonetone wanaojinasibu chama kinapendawa na Watanzani wanamwezi mzima wanatafuta milioni 300 na bado hazijatimia.
My take CHADEMA mkitaka mkieneze Chama kutoka Uchagani, Arusha na Ukuryani hebu igeni ile system ya CCM tena haina haja ya kuiga nyinyi wekeni mashina yenu ya nyumba 15 au 20 nchi nzima hii itasaidia na mwenyekiti na viongozi wa CHAMA ngazi hiyo watawasaidia sanaa…..
Katika mikutano yenu mnaona mnajaza Nyomi lakini hapana watu wanajitokeza kuja kushangaa watu wanaotukana mitandaoni ndiyo hawa? Mjikitite zaidi katika kukikuza Chama hadi ngazi ya Vitongoji na Kijiji kule ndiko wananchi wengi wapo pia Chama kisiwe cha mjini tuu kama ilivyo sasa. Huu ni Ushauri wangu mnaweza kuuchukua au kuachana nao.
Tanzania ina watu 70m, lakini inapewa msaada na Sweden yenye watu chini ya 10m, na wakati huo huo tunajisifia kuwa tuna raslimali nyingi kuliko wazungu hadi wanatuonea wivu. Je ni kuwa ccm haijajitangaza hadi huko chini vijijini? Ni kipi cha kuiga kwa ccm hapo?Mtoto wa Abdul Nassib (Diamond Platnumz) na Zuhura Othman (Zuchu) ndiyo kwanza ana siku kadhaa leo tayari anamilioni 700, ndugu zetu tonetone wanaojinasibu chama kinapendawa na Watanzani wanamwezi mzima wanatafuta milioni 300 na bado hazijatimia.
My take CHADEMA mkitaka mkieneze Chama kutoka Uchagani, Arusha na Ukuryani hebu igeni ile system ya CCM tena haina haja ya kuiga nyinyi wekeni mashina yenu ya nyumba 15 au 20 nchi nzima hii itasaidia na mwenyekiti na viongozi wa CHAMA ngazi hiyo watawasaidia sanaa…..
Katika mikutano yenu mnaona mnajaza Nyomi lakini hapana watu wanajitokeza kuja kushangaa watu wanaotukana mitandaoni ndiyo hawa? Mjikitite zaidi katika kukikuza Chama hadi ngazi ya Vitongoji na Kijiji kule ndiko wananchi wengi wapo pia Chama kisiwe cha mjini tuu kama ilivyo sasa. Huu ni Ushauri wangu mnaweza kuuchukua au kuachana nao.
Mtoto wa Abdul Nassib (Diamond Platnumz) na Zuhura Othman (Zuchu) ndiyo kwanza ana siku kadhaa leo tayari anamilioni 700, ndugu zetu tonetone wanaojinasibu chama kinapendawa na Watanzani wanamwezi mzima wanatafuta milioni 300 na bado hazijatimia.
My take CHADEMA mkitaka mkieneze Chama kutoka Uchagani, Arusha na Ukuryani hebu igeni ile system ya CCM tena haina haja ya kuiga nyinyi wekeni mashina yenu ya nyumba 15 au 20 nchi nzima hii itasaidia na mwenyekiti na viongozi wa CHAMA ngazi hiyo watawasaidia sanaa…..
Katika mikutano yenu mnaona mnajaza Nyomi lakini hapana watu wanajitokeza kuja kushangaa watu wanaotukana mitandaoni ndiyo hawa? Mjikitite zaidi katika kukikuza Chama hadi ngazi ya Vitongoji na Kijiji kule ndiko wananchi wengi wapo pia Chama kisiwe cha mjini tuu kama ilivyo sasa. Huu ni Ushauri wangu mnaweza kuuchukua au kuachana nao.
Mfumo wa Nyumba Kumi unasaidia sana Kuiweka CCM mioyoni mwa Watanzania.Tanzania ina watu 70m, lakini inapewa msaada na Sweden yenye watu chini ya 10m, na wakati huo huo tunajisifia kuwa tuna raslimali nyingi kuliko wazungu hadi wanatuonea wivu. Je ni kuwa ccm haijajitangaza hadi huko chini vijijini? Ni kipi cha kuiga kwa ccm hapo?
Hao mabolozi wamechangia kiasi gani ukusanyaji wa kodi hadi tuondokane na aibu ya kupewa msaada na nchi ndogo kama Sweden? Au unataka kuruka hoja yako ya awali?Mfumo wa Nyumba Kumi unasaidia sana Kuiweka CCM mioyoni mwa Watanzania.
Kwa bahati mbaya nyinyi Vilaza vichwa vyenu vimejaa mavi kazi ya kukusanya kodi hata Heche akichaguliwa kuwa rais haitakua kwa heche wala Lema TRA ndiyo taasisi inayokusanya Kodi kwa Tanzania na Mwaka wa Kifedha 2026/2027 wana lengo la kukusanya Sh. 46.79 trillion mapato ya ndani yatokanayo na kodi ni sh. 36.99 trillion mapato mengine ya serikali ni 9.24 trillion kwa hiyo tuko vizuri utegemezi kwenye budgeti ni mdogo sana kwa sasaHao mabolozi wamechangia kiasi gani ukusanyaji wa kodi hadi tuondokane na aibu ya kupewa msaada na nchi ndogo kama Sweden? Au unataka kuruka hoja yako ya awali?
Kuwa na watu milion 70 sio ishu ,, ishu ni watu gani ulio nao? Utakuta una watoto milioni 30 , una wanawake ambao hawataki kazi ,, utakuta katika hao milion 70 wanaozalisha ni milioni 7 mapaka 10 kama tunavyoona hata walipa kodi hawazidi milioni 2 . Sasa nchi kama hii inaweza kujiendesha bila misaada?Tanzania ina watu 70m, lakini inapewa msaada na Sweden yenye watu chini ya 10m, na wakati huo huo tunajisifia kuwa tuna raslimali nyingi kuliko wazungu hadi wanatuonea wivu. Je ni kuwa ccm haijajitangaza hadi huko chini vijijini? Ni kipi cha kuiga kwa ccm hapo?
Sasa hapo settlement structure yenyewe inaonesha nyumba moja kila baada ya mita 50 huko ndiyo wapiga kura walipo huwezi kukuta Heche anaenda huko kwa sababu anataka Sifa ya Nyomi. Sasa mjini kuna watu mchanganyiko sana wengine mateja tuu wameenda kuiba hao ambao huyo dada anaongea nao ni wapika kura kweli
ivi huoni aibu Tanzania kupewa mpaka MISAADA YA KUNYA?? kula tule sisi,KUNYA tunye sissi ,halafu pakunyea Vyoo tupate msaada na WAZUNGU??🤣🤣🤣 Hizo pesa zinashindwa kujenga vyoo mashuleni?? Yaani Mpaka KUNYA mnasaidiwa na WAZUNGU??🤣🤣🤣 Hii nchi tatizo ni Viongozi, lack of vision/focus 🤔🤔🤔Kwa bahati mbaya nyinyi Vilaza vichwa vyenu vimejaa mavi kazi ya kukusanya kodi hata Heche akichaguliwa kuwa rais haitakua kwa heche wala Lema TRA ndiyo taasisi inayokusanya Kodi kwa Tanzania na Mwaka wa Kifedha 2026/2027 wana lengo la kukusanya Sh. 46.79 trillion mapato ya ndani yatokanayo na kodi ni sh. 36.99 trillion mapato mengine ya serikali ni 9.24 trillion kwa hiyo tuko vizuri utegemezi kwenye budgeti ni mdogo sana kwa sasa
Sera za misaada hizi ndiyo zenu mtakapoingia madarakani muanze kupigwa miti sisi sera yetu ni kujitegemeaKuwa na watu milion 70 sio ishu ,, ishu ni watu gani ulio nao? Utakuta una watoto milioni 30 , una wanawake ambao hawataki kazi ,, utakuta katika hao milion 70 wanaozalisha ni milioni 7 mapaka 10 kama tunavyoona hata walipa kodi hawazidi milioni 2 . Sasa nchi kama hii inaweza kujiendesha bila misaada?
Uko sahihi, sasa ndio watu 70m tena kwenye nchi mnayosema tuna raslimali kibao hadi wazungu wanatuonea wivu, tupewe msaada na nchi ndogo kama Sweden yenye watu chini ya 10m? Hiyo misaada sio kuwa hamuotaki, ila mmenyimwa. Hii jazba yako inaashiria hoja hii imekuumiza tofauti na ulivyokuja na madoido na kejeli kwenye post namba moja.Kwa bahati mbaya nyinyi Vilaza vichwa vyenu vimejaa mavi kazi ya kukusanya kodi hata Heche akichaguliwa kuwa rais haitakua kwa heche wala Lema TRA ndiyo taasisi inayokusanya Kodi kwa Tanzania na Mwaka wa Kifedha 2026/2027 wana lengo la kukusanya Sh. 46.79 trillion mapato ya ndani yatokanayo na kodi ni sh. 36.99 trillion mapato mengine ya serikali ni 9.24 trillion kwa hiyo tuko vizuri utegemezi kwenye budgeti ni mdogo sana kwa sasa
Mtoa mada akiwa kwenye shati la kijaniSasa hapo settlement structure yenyewe inaonesha nyumba moja kila baada ya mita 50 huko ndiyo wapiga kura walipo huwezi kukuta Heche anaenda huko kwa sababu anataka Sifa ya Nyomi. Sasa mjini kuna watu mchanganyiko sana wengine mateja tuu wameenda kuiba hao ambao huyo dada anaongea nao ni wapika kura kweli
We lini Mzungu alikuja tumboni kwako akakusaidia Kunya? Hivi nyi vilaza lini mtapata akili?H
ivi huoni aibu Tanzania kupewa mpaka MISAADA YA KUNYA?? kula tule sisi,KUNYA tunye sissi ,halafu pakunyea Vyoo tupate msaada na WAZUNGU??🤣🤣🤣 Hizo pesa zinashindwa kujenga vyoo mashuleni?? Yaani Mpaka KUNYA mnasaidiwa na WAZUNGU??🤣🤣🤣 Hii nchi tatizo ni Viongozi, lack of vision/focus 🤔🤔🤔
Kwa jinsi tanzania ilivyo haiwezi kujiendesha bila misaada bwana mdogo. Nchi ina tegemezi 80% halafu useme ijitegemee? watoto wako waadogo wanaweza kujitegemea? Ni wanawake wangapi hawawezi kujitegemea? Kodi ya watu milion mbili inaweza kuendesha nchi ya watu milion 70?Sera za misaada hizi ndiyo zenu mtakapoingia madarakani muanze kupigwa miti sisi sera yetu ni kujitegemea
Akili kama hizi ndiyo mnajiona Smart huko CHAGADEMAMtoa mada akiwa kwenye shati la kijani
View attachment 3643062