Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Rasiliali sio uchumi peke yake mkuu. Raslimali pia huisha. Maendeleo ni mikakatiUko sahihi, sasa ndio watu 70m tena kwenye nchi mnayosema tuna raslimali kibao hadi wazungu wanatuonea wivu, tupewe msaada na nchi ndogo kama Sweden yenye watu chini ya 10m? Hiyo misaada sio kuwa hamuotaki, ila mmenyimwa. Hii jazba yako inaashiria hoja hii imekuumiza tofauti na ulivyokuja na madoido na kejeli kwenye post namba moja.
Kuwanyenyekea wananchi ndiyo kawaida yetu ndiyo maana katika kipindi cha miaka 60 hawajatuchokaZidi kiwafuatilia wakutafune na wewe.
View attachment 3643063
Halafu hao watu asilimia kubwa masikini, wanasifiwa kumchamgia msanii tajiri milioni 700Tanzania ina watu 70m, lakini inapewa msaada na Sweden yenye watu chini ya 10m, na wakati huo huo tunajisifia kuwa tuna raslimali nyingi kuliko wazungu hadi wanatuonea wivu. Je ni kuwa ccm haijajitangaza hadi huko chini vijijini? Ni kipi cha kuiga kwa ccm hapo?
Kujitegemea hili neno halijaanza na Samia, bali ni toka enzi za Nyerere kwenye sera yake ya ujamaa na kujitegemea. Lakini hadi sasa misaada bado imebaki ni sehemu ya kuendesha nchi hii. Kwa taarifa yako mzungu hakwepeki.Sera za misaada hizi ndiyo zenu mtakapoingia madarakani muanze kupigwa miti sisi sera yetu ni kujitegemea
We ni mjinga hujui logic, nazingumza ukishakula chakula kinabadilika form kuwa MAVI, then ni lazima uende KUNYA, mahali pa kunyea ni chooni, vyoo msaada Katia mzungu,hapo mzungu amekusadia KUNYA,Yaani mahali pa kunyea, unless huko kwenu kama mnanyea PORINI,vichakaniWe lini Mzungu alikuja tumboni kwako akakusaidia Kunya? Hivi nyi vilaza lini mtapata akili?
Hawajawachoka wakati tunaona mnapika idadi ya wapiga kura? Kama mmefikia mahali hadi mnaaua wananchi ili mkae madarakani, kuna kuchokwa zaidi ya hivyo?Kuwanyenyekea wananchi ndiyo kawaida yetu ndiyo maana katika kipindi cha miaka 60 hawajatuchoka
Ndio ninaweza, tena kwenye mahakama hizi hizi za ccm.Propaganda we unaweza kuthibitisha hayo madai???