Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Nchi ikiwa ya moto ya masuala ya Upigaji wa John Heche Baadhi ya wanachama wa Chama hicho wanaonufaika na Upigaji huo wameingia mtandaoni kuhamashisha Uchamgiaji wa kiasi cha Sh. 334,000,000 kwa kile walichosema ni kwa sababu ya mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika September.
CHADEMA wamepokea pesa nje ya nchi na wahisani wao mbalimbali baada ya kukubali kuwa watakaposhika madaraka wataruhusu mambo ya LGBQ kiasi hicho cha 334,000,000 ni sawa na $126,000 ambazo wanataka kuziingiza kwenye mzunguko kwa kuchangisha kukwepa Financial Crime Act.
Ewe Mtanzania hakikisha unachanga kitu ambacho unakifahamu, kwani kuna Kosa la Financing katika terrorism Act
Allen Kilewella