Tone Tone ya Chadema yatikisa Nchi, Spidi ya Michango inatisha

Inawezekana ni kweli , sababu yangu ya msingi ni hii . Kipindi Cha nyuma chadema waiitisha michango kama hii mwitikio ulikuwa ni chanya Sana . Watanzania ni very sympathetic people .
 
They've collected how much so far?. And why was the Honorable Mbowe unavailable yesterday when he's supposed to be present since the issue was involved raising funds for the party. Damn! The guy has huge numbers of followers whom could've made impact yesterday, I wonder why he did not show up.
 
Hongereni sana. Lema na Lissu wako tayari kuzitumbua hizo hela za wajinga waliochanga.
 
Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?
Ishara ni moja tu na unaijuwa.
Ni hivi: hela hiyo ni NYENZO tu, kuwezesha kazi husika itimie. Msisitizo uwe hapo kwenye kutimiza kazi husika.
Kwa hiyo nawasihi sana CHADEMA, waelewe maana ya mwitikio huo wa waTanzania; lakini watambue kazi kubwa iliyo mbele yao, tena katika ufinyu wa muda wa kuitimiza kazi hii.

Mkuu Erythro, sasa elekeza akili kwenye kuchangia mawazo/mbinu za kuitimiza kazi hiyo, kama kikwazo cha 'nyenzo' muhimu kimeondolewa.
Tukutane hapo kwenye mapendekezo.
 
Si rahisi kukuwekea kiasi hapa, hii ni kwa sababu ni vigumu kuhesabu idadi ya mapipa ya maji katikati ya mvua za masika.

Ni hivi, tangu tulipoweka uzi huu hela imeongezeka mara 3 ya kiasi kilichokuwepo, yaani ni noma! Tusubiri viongozi waseme wakiona kuna haja hiyo
 
Ushauri wako umepokelewa
 
Sipendi siasa wala sio Mwanasiasa, ila kwa maendeleo bora ya nchi yetu tunahitaji upinzani imara sana ili kupambana na CCM na kuwafanya wasirelax......Tuendelee kuchangia kadri tunavyoweza, sio kwa manufaa ya CHADEMA bali kwa manufaa ya nchi yetu.
 
Kwahio issue za kukosa rasilimali fedha tumemaliza. Yaani issue ya fedha imekuwa ni historia ? Sasa tuendelee na next chapter...

What is Next ?!!!
Ninacho juwa ni kuwa CHADEMA hawapo kazini "kununua wapiga kura", au kuwagawia ubwabwa, au t-shirts!
Kwa hiyo haya tuyaondoe kwenye orodha ya "what next"!
 
Hivi kwanini hiki chama kisiwe tu chama cha wanaharakati tanzania, kiwe funded kuishinikiza au kuongea na raisi wa kipindi husika kuhusu maendeleo na kusimamia maendeleo yao. Kwani ni lazma kiwe chama kije chukua dolla. Maana hakiwezi. Tutakichangia kikiwa cha kiharakati. Nothing else. Maana tutakua tunawalisha tu viongozi . Maoni tu jamani. Mimi ni ccm damu damu.
 
Wako wanaonilaumu eti kwa kufichua siri, Hivi jamani kuna siri gani kwenye mpango huu hadi mnaanza kunilaumu, Mbona uliwekwa wazi hadi ITV ikasambaza Dunia nzima?
 
Sipendi siasa wala sio Mwanasiasa, ila kwa maendeleo bora ya nchi yetu tunahitaji upinzani imara sana ili kupambana na CCM na kuwafanya wasirelax......Tuendelee kuchangia kadri tunavyoweza, sio kwa manufaa ya CHADEMA bali kwa manufaa ya nchi yetu.
Sijui kama unaelewa ulicho kieleza hapa.
Utakuwa unajidanganya sana kudhani kwamba CCM ndiyo pekee inayo takiwa kuwa madarakani!
 
S
Ninacho juwa ni kuwa CHADEMA hawapo kazini "kununua wapiga kura", au kuwagawia ubwabwa, au t-shirts!
Kwa hiyo haya tuyaondoe kwenye orodha ya "what next"!
Sijakuelewa Chama gani kipo kufanya hayo ? Kwahio kuuliza what next ni lazima iwe kufanya hayo hapo juu ?

Umesema unachojua sasa ili upate ufahamu na kuacha kuhisi kama unachofahamu ndicho huenda na wewe jibu la what is next linakufaa...
 
Ma muda huu umelewa
 
Potelea mbali nitachanga mpaka basi , chama kikiwa na pesa ya kutosha ndivyo mipango ya chama itafanikiwa . Niwapongeze chadema kwa akili hii kubwa chama kinazidi kutueshimisha , ndani ya miezi sita chama angalau kiwe tsh tirion 5 ili tueshimiane hapa mjini na maccm ambao wamezoea kufilisi nchi.

Nimewai sema pesa za kuendesha chama zipo kwetu wanachama na wapenda haki ambao sio wanachama.

Tone Tone , maana yake chochote ulicho nacho tuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…