kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mimi kama mwananchi mlipa kodi!Wewe kama nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kama mwananchi mlipa kodi!Wewe kama nani?
Umeelewa kweli kilichopostiwa .Acha umalaya wa kisiasa tuliza akiliHuo ni uwongo wa kitoto. Kama kungekuwa na mwamko huo na fedha nyingi si mngesimamisha bakuli.
Sasa kodi yako si muulize WassiraMimi kama mwananchi mlipa kodi!
They've collected how much so far?. And why was the Honorable Mbowe unavailable yesterday when he's supposed to be present since the issue was involved raising funds for the party. Damn! The guy has huge numbers of followers whom could've made impact yesterday, I wonder why he did not show up.Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.
View attachment 3252926
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama Wananchi walikuwa wanasubiri tu Chadema iuanzishe ili waanze kumimina michango, unaambiwa namna hela zinavyomiminika, haijawahi kutokea, Huu mpango ni kama umefanikiwa kabla hata haujaanza.
Tayari Mamluki wa Upande wa pili wanaotegemea hela za wauza unga washaanza kujitafakari wafanyeje ili kuzuia matone hayo, na hasa matone yanayotoka Nje ya Nchi.
Huko Washington DC kampeni ya Tone Tone inaongozwa na Mbunge wa Mbarali Liberatus Mwang'ombe.
View attachment 3252925
Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?
Chama kinakufa kwa kukosa wafuasi, sio kwa kuhujumiwa na vyombo vya dola. Ccm inajiona iko vizuri maana inategemea hela za wakwepa kodi, wauza unga, na kuchota hazina.Chadema kwa kujifariji! Chama kimekufa kubali ukweli
Ni kweli, hii ndio huitwa dua la kuku.Hongereni sana. Lema na Lissu wako tayari kuzitumbua hizo hela za wajinga waliochanga.
Ishara ni moja tu na unaijuwa.Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?
Si rahisi kukuwekea kiasi hapa, hii ni kwa sababu ni vigumu kuhesabu idadi ya mapipa ya maji katikati ya mvua za masika.They've collected how much so far?. And why did the Honorable Mbowe was unavailable yesterday when he's supposed to be present since the issue was involving raising the fund for the party. Damn! The guy has huge numbers of followers whom could've made impact yesterday.
Ushauri wako umepokelewaIshara ni moja tu na unaijuwa.
Ni hivi: hela hiyo ni NYENZO tu, kuwezesha kazi husika itimie. Msisitizo uwe hapo kwenye kutimiza kazi husika.
Kwa hiyo nawasihi sana CHADEMA, waelewe maana ya mwitikio huo wa waTanzania; lakini watambue kazi kubwa iliyo mbele yao, tena katika ufinyu wa muda wa kuitimiza kazi hii.
Mkuu Erythro, sasa elekeza akili kwenye kuchangia mawazo/mbinu za kuitimiza kazi hiyo, kama kikwazo cha 'nyenzo' muhimu kimeondolewa.
Tukutane hapo kwenye mapendekezo.
Ninacho juwa ni kuwa CHADEMA hawapo kazini "kununua wapiga kura", au kuwagawia ubwabwa, au t-shirts!Kwahio issue za kukosa rasilimali fedha tumemaliza. Yaani issue ya fedha imekuwa ni historia ? Sasa tuendelee na next chapter...
What is Next ?!!!
Sijui kama unaelewa ulicho kieleza hapa.Sipendi siasa wala sio Mwanasiasa, ila kwa maendeleo bora ya nchi yetu tunahitaji upinzani imara sana ili kupambana na CCM na kuwafanya wasirelax......Tuendelee kuchangia kadri tunavyoweza, sio kwa manufaa ya CHADEMA bali kwa manufaa ya nchi yetu.
No probs at all, and more power to y'all.Si rahisi kukuwekea kiasi hapa, hii ni kwa sababu ni vigumu kuhesabu idadi ya mapipa ya maji katikati ya mvua za masika.
Sijakuelewa Chama gani kipo kufanya hayo ? Kwahio kuuliza what next ni lazima iwe kufanya hayo hapo juu ?Ninacho juwa ni kuwa CHADEMA hawapo kazini "kununua wapiga kura", au kuwagawia ubwabwa, au t-shirts!
Kwa hiyo haya tuyaondoe kwenye orodha ya "what next"!
Ma muda huu umelewaHivi kwanini hiki chama kisiwe tu chama cha wanaharakati tanzania, kiwe funded kuishinikiza au kuongea na raisi wa kipindi husika kuhusu maendeleo na kusimamia maendeleo yao. Kwani ni lazma kiwe chama kije chukua dolla. Maana hakiwezi. Tutakichangia kikiwa cha kiharakati. Nothing else. Maana tutakua tunawalisha tu viongozi . Maoni tu jamani. Mimi ni ccm damu damu.
Potelea mbali nitachanga mpaka basi , chama kikiwa na pesa ya kutosha ndivyo mipango ya chama itafanikiwa . Niwapongeze chadema kwa akili hii kubwa chama kinazidi kutueshimisha , ndani ya miezi sita chama angalau kiwe tsh tirion 5 ili tueshimiane hapa mjini na maccm ambao wamezoea kufilisi nchi.Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.
View attachment 3252926
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama Wananchi walikuwa wanasubiri tu Chadema iuanzishe ili waanze kumimina michango, unaambiwa namna hela zinavyomiminika, haijawahi kutokea, Huu mpango ni kama umefanikiwa kabla hata haujaanza (Tukumbuke kwamba haya yanatokea ikiwa ni chini ya masaa 24 tangu mpango huo uanzishwe)
Tayari Mamluki wa Upande wa pili wanaotegemea hela za wauza unga washaanza kujitafakari wafanyeje ili kuzuia matone hayo, na hasa matone yanayotoka Nje ya Nchi.
Huko Washington DC kampeni ya Tone Tone inaongozwa na Mbunge wa Mbarali Liberatus Mwang'ombe.
View attachment 3252925
Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?