Tone Tone ya Chadema yatikisa Nchi, Spidi ya Michango inatisha

S

Sijakuelewa Chama gani kipo kufanya hayo ? Kwahio kuuliza what next ni lazima iwe kufanya hayo hapo juu ?

Umesema unachojua sasa ili upate ufahamu na kuacha kuhisi kama unachofahamu ndicho huenda na wewe jibu la what is next linakufaa...
Wewe hujawahi kusikia kauli mbiu ya chama cha mzee Rungwe, au kile chama cha kuwajaza pesa waTanzania. Unaishi nchi gani wewe?
Wewe hujui chama cha siasa ambacho kila wakati wa chaguzi kuu baadhi ya maskini wa nchi hii hupata fursa ya kugawiwa T-shirts kwa matumaini ya kutoa kura zao?
Sipendi kutumia lugha ngumu kwako kwa haya uliyo niandikia hapa.
 
Hizo ndio Sera ambazo zipo kwenye Vyama vyao ? Mbona ni swali rahisi sana what is next lakini wewe umeanza kwenda down the rabbit hole ambayo mpaka sasa ni kupotezeana muda wala haujajibu swali la msingi ambalo hata wewe huenda hujui... Kwahio hawa sababu hawagawi Ubwabwa wala kutoa Tshirts ndio haipaswi kuuliza what is next ?

Mleta uzi mwenyewe kama next ni kuendelea kutafuta michango (atleast kajibu swali ingawa jibu leaves a lot to be desired)....
 
Tulitarajia tuone ushahidi wa tarakimu, kumbe maneno tu.

Ila wakati ni mwalimu mzuri. Huu Uzi utatukumbusha jambo.
Takwim za siku moja? ,subiri kila kitu kitawekwa wazi.

Mh lema na team yake ndani ya kamati ndongo ya mapesa chini ya uongozi huu mpya Mungu awabariki, nitawaweka kwenye maombi mahalum
 
Ni ishara kuwa matone yananguvu kama yale matone yaliyotokana na risasi
 
Mk Mkuu 'Logikos' ukini-prode sana nitaelekea huko unakotaka nielekee.
Jibu nimekupa. Kwamba hiyo "what next" haiwezi kuwa kati ya hayo. Wewe huoni kuwa hilo ni jibu?
 
Tupeni Takwimu (numbers don't lie)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…