Tone Tone ya Chadema yatikisa Nchi, Spidi ya Michango inatisha

Tone Tone ya Chadema yatikisa Nchi, Spidi ya Michango inatisha

Nilionya humu kuwa hiyo press ya tarehe 27 ni kuwaseti nyumbu ili kuwapiga hela.
 
2toBPP.gif

TONE TONE
 
Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.

View attachment 3252926

Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama Wananchi walikuwa wanasubiri tu Chadema iuanzishe ili waanze kumimina michango, unaambiwa namna hela zinavyomiminika, haijawahi kutokea, Huu mpango ni kama umefanikiwa kabla hata haujaanza (Tukumbuke kwamba haya yanatokea ikiwa ni chini ya masaa 24 tangu mpango huo uanzishwe)

Tayari Mamluki wa Upande wa pili wanaotegemea hela za wauza unga washaanza kujitafakari wafanyeje ili kuzuia matone hayo, na hasa matone yanayotoka Nje ya Nchi.

Huko Washington DC kampeni ya Tone Tone inaongozwa na Mbunge wa Mbarali Liberatus Mwang'ombe.

View attachment 3252925

Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?
Sawa
 
Back
Top Bottom