Tone Tone ya Chadema yatikisa Nchi, Spidi ya Michango inatisha

Nakazia ✍️

Tofauti yao ni kama mbingu na nchi,
Mmoja mstaarabu, mkweli, mwingine mtukanaji, muongo
Hakika Mkuu, ila sio vibaya akaenda kujifunza

Unajua kwenye Siasa lolote linaweza kutokea.

Nani alitegemea Lowassa na Sumaye wangeenda CDM

Ama nani alitegemea Silinde angetoka CDM na kwenda kuwa Naibu Waziri 🙌
 
Mie kwenye nimo tayari nimechangia laki 2. Kabla ya kuzindua hii Nimo, nilichangia 1.2m. Kwenye kugharamia shughuli za chama, nje ya mfumo wa Nimo, nimechangia 3m.

Mungu akijalia, mpaka June, nataka niwe nimechangia 25m.
Munhu akubariki sana
 
Hakika Mkuu, ila sio vibaya akaenda kujifunza

Unajua kwenye Siasa lolote linaweza kutokea.

Nani alitegemea Lowassa na Sumaye wangeenda CDM

Ama nani alitegemea Silinde angetoka CDM na kwenda kuwa Naibu Waziri 🙌
Eti Mwita waitara anakuwa Waziri harafu Lizabon anakuwa DAS?

Mambo ni mengi muda mchache
 
Eti Mwita waitara anakuwa Waziri harafu Lizabon anakuwa DAS?

Mambo ni mengi muda mchache
Hahaha............Wanasiasa Vijana wajifunze kuhusu hili aisee

Kwamba lolote kwenye Siasa linawezekana
 
Weka namba wengine hatuijui tuchangie
 
Vibaka baadhi wa CCM walisema hakuna atakayechanga mwisho wa siku mtandao umefikia limit ya kupokea pesa hadi zihamishwe ili nyingine ziendelee kuingia.

Siku zote watu watachangia mabadiliko kwa namna yoyote ile naamini hata wapo wanaccm wapenda mabadiliko wamechangia kwa utambulisho fiche.
 
Lucas ni mchumba tu kwa Erythrocyte ameiga na kufata mkumbo lkn ameshindwa kukopi amejikuta anapuyanga tu kububujikwa machozi kila siku.
 
Alale mbele kama hajiskii hakuna wa kumbembeleza chama kinasonga na michango inachangwa hadi nje ya nchi huko ulaya na marekani wanaxhangia, lisu jeshi kubwa
 
Changieni watu walishe na wasomeshe familia zao, ng'ombe nyie.
 
Tone Tone inatisha mpaka serikali ya CCM inatetemeka na kuingiwa uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…