Tongue Rings, Hot or Not

Tatizo ni kwamba nilitamani kuelewa na kuchangia kama nyie ila lugha imeniwia ngumu


Changia tu mkuu, wote tunaelewa lugha ya Taifa.
Mchango wako ni utakuwa funzo pia.
 
Reactions: BAK
Changia tu mkuu, wote tunaelewa lugha ya Taifa.
Mchango wako ni utakuwa funzo pia.

Nilimaanisha nilikuwa na nia ya kujua mada husika ila lugha imekuwa ngumu
 
Reactions: kui
Kama Ni Ushamba Basi Wacha Niwe Nao, Ila Mwanamke Aliyejipachika Hivi Vipini Sijui Kitovuni, Kwenye Ulimi, Puani, Juu Ya Sikio, Juu Ya Jicho Ama Idodomya Kwangu Hana Nafasi Kabisa.
 
Reactions: kui
Mh, am not sure about the eyebrow one, seems like it needs special and extra care comparing to other parts of the body piercing, that's not complicated.
Looks like it's more painful too..
Ahsante!!! lakini what do eyebrow piercings cost? na vipi jamii ambayo unaishi nayo wanachukuliaje swala hilo? Manake jamii nyingine wanaona huo ni uhuni ulioshtadi!!
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…