kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
- Thread starter
- #161
Haya funguka Kui, kwenye ulimi, kitovuni, machoni viwili, kati kati ya pua tayari vidubwasha vinne hivyo. Funguka kuhusu location ya vitano vilivyobaki ila najua kuna sehemu viko viwili lol!!!
...hahahaa!, BAK wewe...lol
Ni masikio, pua, ulimi, na tumbo. "Un disclosed location" hakuna my dear.