Tongue Rings, Hot or Not

Tongue Rings, Hot or Not

Sawa mamie, wewe ndo unajua kumdhibiti..

Msamehe tu lakini, sidhani kama alikuwa na nia mbaya, kasema hao wadada wa Kilatino, anapenda kuwaangalia tu na pin zao..🙂
Kwani si uanza na kuangalia hivyo hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hahahaaa, uwiii!
Kaboom mie simoo...😀
Teh teh...Wanawake hamueleweki..Mtu akiwa mzembe kwenu kero..Akijituma pia kuleta mkate mezani still mnaongea..Yani huyu hapendi kazi ninayoifanya ila anaipenda pesa inayotokana na kazi hiyo
 
Yani itabidi watoboe kwa operation, hivi hivi haitofunguka
Kwakweli, maana sio kwa kujitunza huku!

Haha, mmenikumbusha movie, The Runway Bride.
Kama nakumbuka vizuri, kuna mahala bi harusi mtarajiwa anaulizwa na bibi yake kama bado bikra, halafu bibi akaongelea uwezekano wa bi harusi kutobolewa na pin kwanza, ili kujiandaa na mumewe...lol
 
Teh teh...Wanawake hamueleweki..Mtu akiwa mzembe kwenu kero..Akijituma pia kuleta mkate mezani still mnaongea..Yani huyu hapendi kazi ninayoifanya ila anaipenda pesa inayotokana na kazi hiyo

atoto, this goes to you. 🙂
 
Back
Top Bottom