mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
source mkuuHere is the list of 10 greatest secondary schools ever to occur in TANZANIA. This represents the all time best sec school since the death of Tanganyika. 1. MZUMBE 2. MARIAN 3. FEZA 4. KIBAHA 5. FRANSIS ST 6. KIFUNGILO 7. MAUA 8. ILBORU 9. TABORA 10. KILAKALA
Here is the list of 10 greatest secondary schools ever to occur in TANZANIA. This represents the all time best sec school since the death of Tanganyika. 1. MZUMBE 2. MARIAN 3. FEZA 4. KIBAHA 5. FRANSIS ST 6. KIFUNGILO 7. MAUA 8. ILBORU 9. TABORA 10. KILAKALA
wewe utakuwa ni kijana wa dotikomu, hizo shule za private zimeanza miaka ya 2000, nyuma ya hapo ilikuwa private wanaenda watu waliofeli std 7 na ilikuwani aibu kusema unasoma private school

Siyo kweli mkuu,kumbuka wakati huo shule za serikali(sekondari) zilikuwa chache sana, walikuwa wanafaulu wengi sana ila nafasi zilikuwa chache hivyo wengine tuliangukia huko tena kwa alama za juu sana
Hata mimi sijaelewa sijui ni aibu gani anayoizungumzia.
Halafu kufeli la 7 wala siyo aibu. Na kufeli mtihani wowote ule si aibu.
Ilikuwa aibu kusema unasoma shule ya private?
Ndiyo kwanza nayasikia leo hayo maana mimi nimesoma private na sijui hata mmoja niliyesoma naye ambaye alikuwa anaona aibu.