The best school is feza boys, I remember miaka ya 2000 to 2005 ilikuwa inachukua wanafunzi wa kawaida ambao hata la 7 hawakufaulu nikiwemo mimi ila walimu wanakutengeneza failure wa standard 7 kuja kuwa na akili na kupata flying colors form 4 and form 6 na hata university as kwa msingi waliokuandaa,, but mzumbe, ilboru, kilakala na zinginezo zilikuwa zinapata watu vichwa tayari ambao hata bila kufundishwa wanafaulu.
Nakwambia ukisoma feza hata uwe mjinga vipi utafundishwa hadi ukasirike mwenyewe na at the end of the day unafaulu vibaya na hata kuitingisha nchi,, kuna watu nilisoma nao walifeli la 7 lakin form 4 na 6 wakaja kuingia national top ten na hata university wakaenda kupiga gpa za kufa mtu, imagine hao watu wangesoma shule zisizojua kuwafanya wanafunzi wawe smart wangeishia wapi kama sio kuendeleza zero tu
Mpaka leo nashindwa kuelewa mwanaasha alifeli vp feza girls wakati ni feza girls ni pacha wa feza boys