Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

St. Francis, Marian, Feza Boys and Girls, Mzumbe, Kibaha, Precious Bood, Canossa, Kifungilo, Mazinde, Ilbouru.
 
The best school is feza boys, I remember miaka ya 2000 to 2005 ilikuwa inachukua wanafunzi wa kawaida ambao hata la 7 hawakufaulu nikiwemo mimi ila walimu wanakutengeneza failure wa standard 7 kuja kuwa na akili na kupata flying colors form 4 and form 6 na hata university as kwa msingi waliokuandaa,, but mzumbe, ilboru, kilakala na zinginezo zilikuwa zinapata watu vichwa tayari ambao hata bila kufundishwa wanafaulu.

Nakwambia ukisoma feza hata uwe mjinga vipi utafundishwa hadi ukasirike mwenyewe na at the end of the day unafaulu vibaya na hata kuitingisha nchi,, kuna watu nilisoma nao walifeli la 7 lakin form 4 na 6 wakaja kuingia national top ten na hata university wakaenda kupiga gpa za kufa mtu, imagine hao watu wangesoma shule zisizojua kuwafanya wanafunzi wawe smart wangeishia wapi kama sio kuendeleza zero tu

Mpaka leo nashindwa kuelewa mwanaasha alifeli vp feza girls wakati ni feza girls ni pacha wa feza boys

Kichwa cha mada umekielewa mkuu? Neno all times maana yake toka mkoloni mpaka uhuru mpaka leo. Soma maana yake kama unabisha kisha utanieleza.

Sasa mwaka 2000 mpaka 2005 mbona ni juzi tu? Na miaka unayoitaja si ndo ile ya walimu wako umri sawa na mwanafunzi wake? Dio unatuaminisha ili tuone the greatest of all time schools? Si kweli.

Shule zote bora zilikuwa ni za serikali miaka ya 60 mpka 80. Hiyo yote ilikuwa kazi ya Nyerere ingawa naye alikuwa na mapungufu yake kwa nyanja nyinginezo lakini si nyanja ya elimu.

Nyerere atakumbukwa daima kwa mchango wake mkubwa wa elimu nchini.
 
Ukisoma huu Uzi ndio utajua sometimes tunatukanwa na watoto wetu hapa jf mtu anaongelea all times best Secondary wewe unaongelea St zilizoanza juzi na mitaala ya Mungai na multiple choice ya Basic Maths unafananisha na Necta exams za 1985 to 1996
 
kitu TANGA TECH… kiujumla ma tech ni nomaa, ukisoma tech we nili injinia ani kama first year ya civil/elect/mech bachelor unakula bata tuuuh make unapga vitu ulivosoma form one… bila kusahau technical drawing kwa mech/elctr and civl draftng,,,, noma sana
 
Shule za private zinafundisha balaa,serikali mwalimu anaingia kipindi kimoja ktk mwezi mzima
 
Mkuu mtoa mada umesahau mzizima ilikuwa hatari kpindi chake,ni moja ya shule bora kabisa kwa watu waliosoma miaka ya tisin adi elfu mbli watakuwa wanaifaham,sjui sku hzi imepatwa na nn matokeo yake nayo yamekuwa mabovu sio ile mzizima niliyokuwa naifaham
A.S Thind aliondoka.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
badoo tu mnaendelea kuaamini kuwa kuna best school!
kwa ulimwengu wa sasa kuna best candidates, ure performance will determine the best
ukiwa na akili kama zawachangiaji waliotangulia utashindwa maisha ,then bado wanaoneka mawazo yao ni ya kitoto sana
kama bado mpo shule someni kwa bidii,kama mshamaliza tafuteni hela kwa bidii zote pamoja na amani moyoni
nawasilisha
😂😂😂😂😂😂😂
 
What maters now is best performance uwe Una soma private au unasoma government akili kichwani mwako for as long as umefaulu vizuri it doesnt matter umesoma shule gani kwan shida sio shule shida ni mwanafunzi wenyewe kwasababu sio kwamba walimu hawafundishi inategemea na mwanafunzi mwenyewe amejiandaa vp kama kajiweka kweny hali ya kufeli basi atafeli kama amejiweka kufaulu basi atafaulu course practice makes perfect
 
Ilikuwa aibu kusema unasoma shule ya private?

Ndiyo kwanza nayasikia leo hayo maana mimi nimesoma private na sijui hata mmoja niliyesoma naye ambaye alikuwa anaona aibu.
Anachosema ni kweli kipindi hicho private walikuwa wanachukua waliofeli ,ila kama umesoma kuanzia 2000 Mambo yalikuwa yameshabadilika
 
The best school is feza boys, I remember miaka ya 2000 to 2005 ilikuwa inachukua wanafunzi wa kawaida ambao hata la 7 hawakufaulu nikiwemo mimi ila walimu wanakutengeneza failure wa standard 7 kuja kuwa na akili na kupata flying colors form 4 and form 6 na hata university as kwa msingi waliokuandaa,, but mzumbe, ilboru, kilakala na zinginezo zilikuwa zinapata watu vichwa tayari ambao hata bila kufundishwa wanafaulu.

Nakwambia ukisoma feza hata uwe mjinga vipi utafundishwa hadi ukasirike mwenyewe na at the end of the day unafaulu vibaya na hata kuitingisha nchi,, kuna watu nilisoma nao walifeli la 7 lakin form 4 na 6 wakaja kuingia national top ten na hata university wakaenda kupiga gpa za kufa mtu, imagine hao watu wangesoma shule zisizojua kuwafanya wanafunzi wawe smart wangeishia wapi kama sio kuendeleza zero tu

Mpaka leo nashindwa kuelewa mwanaasha alifeli vp feza girls wakati ni feza girls ni pacha wa feza boys
Hebu mkuu tusaidie mbinu Gani walikuwa wanazitumia kuwawezesha hao wenye ufaulu mdogo kufanya vizuri sana....Lakini Usitaje jina la mtu aliyefeli hapo mwishon si vizuri kk
 
Ilikuwa aibu kusema unasoma shule ya private?

Ndiyo kwanza nayasikia leo hayo maana mimi nimesoma private na sijui hata mmoja niliyesoma naye ambaye alikuwa anaona aibu.
Iyo mbona ni kweli, private walikuwa wanasoma wajinga waliofeli darasa la saba lakini labda utwambie wewe ni mwaka gani tusijekuwa tunaongea na watoto wa 2000 samahani lakini
 
Hapa kila mtu atataje shule yake. Hii ligi bado mbichi
 
Back
Top Bottom