Mung'anzagala
Member
- Jun 9, 2013
- 93
- 44
mafinga seminary ilikuwa haitiii mguu hata kwa jirani zao CONSOLATA SEMINARY achilia mbali DON BOSCO SEMINARY,, toka ameondoka FR MASIKA ile shule imekua haina tofauti na JJ MUNGAI.. kwa mkoa wa iringa kidogo DON BOSCO nawakubali sana,, then kwa upande wa mkoa wa njombe ST JOSEPH KILOCHA..wap mafinga seminary
hao ukichanganyanya na st fransis ya mbeya plus mbaliz seminary ndo unapata ligi tamu upande wa nyanda za juu kusini.. hao mafinga seminary kazi kunywa ULANZI, KOMONI, KIMPUMU, MSABE, KIHAMBULE..... ndo maana hata mapadri wanaotoka hapo huwa wanakuwa na vitabia fulani vya ulevi