Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Anayebisha kama tbrboys,kibaha,mzumbe,ilboru,msalato,kilakala,tbrgirls kwamba sio vipaji maalumu basi huyo ni mwendawazimu
Vipaji maalumu kivipi?
Na hivyo vipaji maalumu vimezalisha nini ambacho waweza kuonyesha na kusema 'kile pale ni zao la mwanafunzi mwenye kipaji maalum aliyesoma shule ya wanafunzi wenye vipaji maalum'?
Maana'ke mpaka sasa mimi sijui walikuwa wanatumia vigezo gani kuamua kuwa huyu ana kipaji maalum na huyu hana zaidi ya kuangalia alama mtu apatazo kwenye mitihani yake.
Je, walikuwa wanapewa aptitute test au IQ test au walikuwa wanategemea alama za mtu za matokeo yake ya mtihani wa taifa?