Hivi kwanini hao wanafunzi wanao toka shule hizo za sant sant wakifika vyuo vikuu wanadisco tuu au wanashindwa kabisa wakati wanakuja na division one kariii?? Na kingereza kama cha ulaya!! Chuoni naona wanaofanya vzr niwale wanaotokea shule za kawaida kabisa na wanajua nini wanafanya.
Bro. You Hit The Nail On The Head.