Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Ruth night Kokuakanula kibira-author true life story
 
Olonyokio Logilandasi Olesendeka Lolonyori-Mbunge Simanjiro
 
Josephat <b>Mkundukuwaka</b> - Dodoma Sec. 1968
<br />
<br />
Du!!! Hilo jina hata sijui naanzaje kuliita.....lol
Na kuna,
Panawasha nkikuna,
kyima kyambwele,
kitema mwasakafyuka,
ndimyake mwakalyelye,
kokushobokera mutalemwa mushumbuzi,
nsyagenie nsyankisu,
mwakifulefule mwakifwamba,
nkundu nshungama.
Mwakikokolwa mwasandembwe,
mapunda manyanimwitu,
...................naishia hapa vidole vinauma ....lol.
 
mihayo igenge pugu sec,2002-2005
migunda sagwa pugu sec
david mwakatapanya pugu sec
samwel kazungu
frank kapombe wotte pugu
 
kweli jf siku nyingine kuna wachapiaji. Huyo jamaa wa tabora boys akiona mlivyokosea jina lake atalia. jina lake sahihi ni Ntampera Mvunamaboko.
 
Kufakunoga nembanemba(Lab technician Interbeton-iringa),forogo Mpopoto(Dozer operator Interbeton-Iringa) and Tovayuwasi myughilavana(somewhere in Iringa).
 
niyakiluga au yana maana gani? mtujuze mnaojua
 
NKOMOKOMO BHUTOKE Headmaster wa secondary flani TZ!
 
Kaumbya ntunu-mwanafunzi taqwa seconadary 2001-2004.
Wasiwasi mwabulambo-mtangazaji clouds fm
 
Kukutia Ole Pumbun...Kwa wale waliosoma sheria wanaijua hii kesi!
 
Back
Top Bottom