Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Familia moja ikapata house girl akienda kwa jina la TABU NIFANYEJE na shamba boy akiitwa FANYENI HAKIKA ni hapa Morogoro.
 
Daudi Menei Mboro. Tarakea sec. Form five 2007 PCM
 
Ntamasambilo Banduluki Milambo seconadry school form fourl 1990

Mbuga Ubaya EGM milambo 1990

Asangalwisye kajigili 1990 milambo

Kumalija EGM milambo

Bantulaki Bilango form six milambo

prof kabudi palamagamba UDSM

Ndayiluikiye ntahotuli form four 1991 milambo


Ndimyake mwakalyelye Voice of america
 
Mfutakamba waziri wa jk

Orina nyambane Tabora sec

maji ya tanga mzindakaya mbunge mstaafu

Mbamba uswege lecture UDSM

kakusulo sambo Judge mahakama kuu Arusha
 
Kaganzi Rutachwamagwayo- ICD to date
Malelemba Kengese - Buhangija Primary 1987
 
<div style="text-align: left;"><span style="font-family: Times New Roman"><font size="3">1. Ndugu <font color="#3333ff">TAMPERA NGUNAMABWOKO</font>-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

Umenikumbusha mbalikuna binti alikua na jina hili:

NAITWA CHUMA,Mhitimu wa shule ya msingi Mlimani mwaka 2000.
ikawa mbinde alipokua anahitajika kutaja jina lake.
 
Musa mkunduge na Uswege Angumbwike..,Azania sec.98'-01'
Mulilo Tolewa huyu alikuwa mtangazaji wa BBC Swahili
 
Mshikatako Mahalagambwa Mkune - Pusha wa bangi Ilala Boma.
 
Profesa Palamagamba Kabudi - UDSM 1980s
Profesa Kulikoyela Kahigi UDSM 1980s
Profesa Mugyabuso Mulokozi - UDSM 1980s
Mwalimu Mchwampaka - Azania SS 1990s
Mwalimu Mitimingi - Azania SS 1990s
 
Kunyela, mzoa taka wa manzese.
Mwakijambile
Baruti Mambo. alikuwa mtangazaji wa DTV miaka 90 mwishoni.
 
Back
Top Bottom