Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Lakini mie nimesoma na Andrekatenkacha Vangilisasi (meta Mbeya 1996), sijajua ako wapi kwa sasa.
 
Pia nikiwa katika masomo ya juu nimesoma na jamaa mmoja anayekwenda kwa jina la Mfwalamagoha, ni wa Iringa lakini nadhani alienda kufanya kazi mkoani Mbeya.

Ila Kiboko ya yote ni majina ya mkoani Tanga (majina ya vitu). Hebu angalia hapa chini.

Joel Bendera
Januari Makamba
Hemedi Sabuni
Ikram Siafu
Bakari Mshahara
Ibrahimu Msikiti (wao wanaita Msigiti)
Jumanne Mswaki
Sheshe Msumari ( wao wainaita Msumai)
Athumani Kibiriti (wanaita Kibiiti)
 
Ahahahaaah!!
 
Kibiit, Msigiti, Hah hah umeniacha hoi hapo kwa Wagosi wa kaya!
 
Mnyama Pomboo:
Pomboo ni wanayama wa bahari
wa familia mbalimbali katika oda
ya Cetacea au nyangumi.
Wanahesabiwa kati ya nyangumi
wenye meno ( Odondoceti).
Spishi nyingi zinaishi baharini
lakini kuna pia spishi chache
wanaokaa kwenye maji matamu
ya mito. Kuna pia spishi za
pomboo wa mtoni ambao ni
familia tofauti hata wakifanana
sana na pomboo za kawaida.
:car:
 
Pia nikiwa katika masomo ya juu nimesoma na jamaa mmoja anayekwenda kwa jina la Mfwalamagoha, ni wa Iringa lakini nadhani alienda kufanya kazi mkoani Mbeya.

Ila Kiboko ya yote ni majina ya mkoani Tanga (majina ya vitu). Hebu angalia hapa chini.

Joel Bendera
Januari Makamba
Hemedi Sabuni
Ikram Siafu
Bakari Mshahara
Ibrahimu Msikiti (wao wanaita Msigiti)
Jumanne Mswaki
Sheshe Msumari ( wao wainaita Msumai)
Athumani Kibiriti (wanaita Kibiiti)

Nafanya kazi na Rashid Mshara nadhani anaudugu na huyo uliemtaja wewe huyu jamaa kwao ni muheza.

Lufingo Mwambungu kada wa CCM Temeke
 
mwita matiko wambura chacha marwa- alliance sec 1970
haambiliki sikudhani mateso- makurumla primary school 1969
phonex memorikiu- Naputa primary school newala 1980
sinamakosa chinankoja- Milidu primary school 1974
katembo fisi nyoka- matemannga seondari 1994
 
Pia nikiwa katika masomo ya juu nimesoma na jamaa mmoja anayekwenda kwa jina la Mfwalamagoha, ni wa Iringa lakini nadhani alienda kufanya kazi mkoani Mbeya.

Ila Kiboko ya yote ni majina ya mkoani Tanga (majina ya vitu). Hebu angalia hapa chini.

Joel Bendera
Januari Makamba
Hemedi Sabuni
Ikram Siafu
Bakari Mshahara
Ibrahimu Msikiti (wao wanaita Msigiti)
Jumanne Mswaki
Sheshe Msumari ( wao wainaita Msumai)
Athumani Kibiriti (wanaita Kibiiti)

hiyo hata wasukuma wanayo sana, hawa ndio ninao wafahamu
Masanja Kengele
Pombe Makufuli (Magufuli)
Malila Mwenge
Mihambo Kaniki
Kulwa Sahani
Buluma Kibendera
 
Chai Namaharage- Mzumbe Sec 1991-93
Kabendera Shinani RIP
 
majina ya Wazaramu,Sikujua,Sikudhani,Siwema,Tabu.Msafiri,Mema,Shindo,Furaha,Semeni,Kazi,Bahati(huwa wana2mia majna hayakupigana vjembe)
 
Back
Top Bottom