Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Askofu Maranyingi - Telephone and LAN Technician

Njolembwiga Njolembwesye: Mkazi wa Mbeya.
 
hahahahhahaah lol
G sina hamu
mbavu za uma sasa..

haki ya walakhi JF kuna mambo ..
mmhhhh
 
  1. Kambarage Nyerere
  2. Mabere Marando
  3. Fundikira
  4. Fumbuka Ng'wanakilala
  5. Kijakazi Kyelula
  6. KIjakazi Mchujuko
  7. Makanyila Mwisongo
  8. Anyekwa Chilipweli
  9. Tusekile Kibonde
  10. Salanga Chilipweli
  11. Mboni Masimba
  12. Lusajo Kibonde
  13. Shani Mnyani
  14. Sima Mwombela
  15. Nkundwe Mwakasendo
  16. Chanja Mwombela
  17. Mosi Kipokola
  18. Chambi Msiagi
  19. KIsa Kilindu
  20. Mrambo Derua
  21. Nzota Kilonzo
  22. Kanyeka Ntuyabaliwe
  23. Tibu Mwandoro
  24. Andembwise Mwakanyamala
  25. kalimba Swere
  26. Kumi Mkono
  27. Ndabu Swere
  28. Mhoja madata
  29. Mbilizi Madata
  30. Nampombe Kibacha
  31. Nsane Ligati
  32. Buberwa Mutasa
    Usungu Mbelle
    Bwigane Magomela
    Bwigane Mbangula
    Mateo Mundeba (R.I.P)
    Kumalilwa s
    Shaka Kirigini
    Mandela Wakati
    Ngade Chabanga Dyamwalle
    Mwamshindo Rajab
    Bimkubwa Rajab
    Kazikupenda Chale
    Kadogo Ngula
    Masha Makata
    Mao Makata
    Yisambi Mboma
    Narego Mbago
    Sigo Mwapachu
    Chimpaya Ntagazwa
    Mpeli Nsekela
    Magambo Lakilang'anyi
    Wanseho Tulibao Mkisi
    Nesha Derua
    Kwizela Ntagazwa
    Nzagi Lakilang'anyi
    Mahiga Mapigano
    Mageta Opanga
    Maganga Liwali
    Gagi Limihagati
    Kapona Gombanila
    Mwanawetu Mbonde
    Pelelwa Shauri
    Irema Linjewile
    Mire Nyakilang'anyi
    Mwiga Kapya
    Akinyi Opanga
    Maua Daftari
    Sawaya Kilonzo
    Ngundilile Mwambenja
    Kizito Kihiwili
    Nyamwende Nyamka
    Tabasamu Ngongoseke
    Kibudia Mwaimu
    Faraja Kota


Zamani nilikua naona majina ya ajabu siku hizi naona ni majina ya kujivunia, yani ile feeling unakwenda nje ya nchi halafu watu wana shindwa tamka jina lako kwangu naona ufahari sana.

Aliye uliza kuhusu Mboni Masimba, mrembo huyu yuko mjini Dar na ni anajulikana kwa aka ya Kim Kardashian wa Bongo , ni ana miliki duka la mavazi na mmoja ya wana kuparty mujini.
 
dah mkuu Achilana nampata huyo bint white alikuwa msongo sana

Sasa huyo kwa kaka yake anaitwa Mkunga Mtingele kama unamsingizia na mama yao ni mwalim mkali wa chemistry alikuwa dodoma second sijui kishastaafu? Nitamuuliza Achilana kwa face book.
 
Hii kaka imetulia mengi ya haya ni majina yasio na chembe za utwana 🙂
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
 
  1. Kambarage Nyerere
  2. Mabere Marando
  3. Fundikira
  4. Fumbuka Ng'wanakilala
  5. Kijakazi Kyelula
  6. KIjakazi Mchujuko
  7. Makanyila Mwisongo
  8. Anyekwa Chilipweli
  9. Tusekile Kibonde
  10. Salanga Chilipweli
  11. Mboni Masimba
  12. Lusajo Kibonde
  13. Shani Mnyani
  14. Sima Mwombela
  15. Nkundwe Mwakasendo
  16. Chanja Mwombela
  17. Mosi Kipokola
  18. Chambi Msiagi
  19. KIsa Kilindu
  20. Mrambo Derua
  21. Nzota Kilonzo
  22. Kanyeka Ntuyabaliwe
  23. Tibu Mwandoro
  24. Andembwise Mwakanyamala
  25. kalimba Swere
  26. Kumi Mkono
  27. Ndabu Swere
  28. Mhoja madata
  29. Mbilizi Madata
  30. Nampombe Kibacha
  31. Nsane Ligati
  32. Buberwa Mutasa
    Usungu Mbelle
    Bwigane Magomela
    Bwigane Mbangula
    Mateo Mundeba (R.I.P)
    Kumalilwa s
    Shaka Kirigini
    Mandela Wakati
    Ngade Chabanga Dyamwalle
    Mwamshindo Rajab
    Bimkubwa Rajab
    Kazikupenda Chale
    Kadogo Ngula
    Masha Makata
    Mao Makata
    Yisambi Mboma
    Narego Mbago
    Sigo Mwapachu
    Chimpaya Ntagazwa
    Mpeli Nsekela
    Magambo Lakilang'anyi
    Wanseho Tulibao Mkisi
    Nesha Derua
    Kwizela Ntagazwa
    Nzagi Lakilang'anyi
    Mahiga Mapigano
    Mageta Opanga
    Maganga Liwali
    Gagi Limihagati
    Kapona Gombanila
    Mwanawetu Mbonde
    Pelelwa Shauri
    Irema Linjewile
    Mire Nyakilang'anyi
    Mwiga Kapya
    Akinyi Opanga
    Maua Daftari
    Sawaya Kilonzo
    Ngundilile Mwambenja
    Kizito Kihiwili
    Nyamwende Nyamka
    Tabasamu Ngongoseke
    Kibudia Mwaimu
    Faraja Kota



Zamani nilikua naona majina ya ajabu siku hizi naona ni majina ya kujivunia, yani ile feeling unakwenda nje ya nchi halafu watu wana shindwa tamka jina lako kwangu naona ufahari sana.
Duuh naona majina ya watoto wa obay enzi hizo. Hivi huyu jamaa kwenye green yuko wapi siku hizi?????
 
Rungundogo Kisanduku, Arusha Sec School, 1991-94
Mtoro Vumbi, Arusha Sec 1995
 
ng'onela lugata-sengerema sec school(mwanza) 1994-1997
manyenye maganiko-sengerema sec school 1994-1997
lihwa masulubu-sengerema sec school same years
gwakisa kajange-sengerema sec school same years
 
Ahahahahaaaaaaaah hii thread tamu kwelikweli!!
 
Back
Top Bottom