Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majina ya Wazaramu,Sikujua,Sikudhani,Siwema,Tabu.Msafiri,Mema,Shindo,Furaha,Semeni,Kazi,Bahati(huwa wana2mia majna hayakupigana vjembe)
Du!!Josephat Mkundukuwaka - Dodoma Sec. 1968
Josephat Mkundukuwaka - Dodoma Sec. 1968
Huyu jamaa Josephat Mkundukuwaka alikuwa anampa Headmaster wakati mgumu sana inapofikia kutamka jina lake hadharani. Lakini ilibidi Headmaster lazima alitamke manaake Josephat alikuwa mchoraji mzuri aliyekuwa anashinda kila term. Sijui aliishia wapi. Nimem-google lakini jina lake halitokei. Labda alibadilisha jina la ukoo manaake lilikuwa linatisha!kama kuna wageni inabidi wa 😛lane: vinginevyo:car:itawakawiza
Dah yaani hapo inabidi atungwe jina la utani litakalokuwa maarufu kuliko jina lake.Huyu jamaa Josephat Mkundukuwaka alikuwa anampa Headmaster wakati mgumu sana inapofikia kutamka jina lake hadharani. Lakini ilibidi Headmaster lazima alitamke manaake Josephat alikuwa mchoraji mzuri aliyekuwa anashinda kila term. Sijui aliishia wapi. Nimem-google lakini jina lake halitokei. Labda alibadilisha jina la ukoo manaake lilikuwa linatisha!
Duuh naona majina ya watoto wa obay enzi hizo. Hivi huyu jamaa kwenye green yuko wapi siku hizi?????
Yaani basi tu. Nilikuwa najiulizaga itakuwaje familia iwe na jina kama hilo. Ndio maana hadi leo hii katika majina ninayoyakumbuka hilo ni moja wapo. Ni vigumu kulisahau!Kwa kweli kama ningekuwa na jina la ajabu kama MKUNDUKUWAKA ukubwani ningefanya utaratibu wa kulibadilisha..................mkong'oto kwa wale wote watakaoendelea kuita hilo jina!!!!
Adam Tilwabahoire
Tuntufye Anyitike Mwasakafyuka