Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

1. Mshaufu Rumo (R.I.P) K/ndege Primary 1991
2. Mwanasukari Rumo Iteba vocational 1993
3. D. NG'WANANGWA alikuwa Africare
 
Koboko sase -makumbusho primary school 1993
Babayetu Ngoilenya- kitangali teachers college 2012
 
Mahunya Mahutira
Magaji Malyegonga
Ngakuka Veta 1990-1992
Lihaya
Kipigapasi
Jumamosi Saanane Kinabo alikuwa COASCO
 
Mfilaji ------.
Fundi baiskeli Iringa mjini.
 
Ndugu Nyashehe
Nyamaume
Nwobodo
Mbwii
Hashim Mbwilo Jamhuri Primary
 
Majina haya yote ni ya Kiafrika-yanatukuza Uafrika. Heri kuitwa jina mojawapo kuliko fedheha ya kujiita kwa mfano Jane John, Michael Gabriel, Hamid Hemed au Hasina Bint Ali. Wenye asili ya majina haya-Wazungu na Waarabu hustaajabu sana Waafrika kuacha majina yetu na kujibambika majina yao ili tuonekane wastaarabu.
 
Hapa naona mantiki ya wazungu ba waarabu kuwapa watumwa majina mapya mepesi. Jina kama Ng'wizukulu Shisalyandumi Ng'wanang'wallu inaongeza gharama zisizo muhimu .. inahitaji muda mwingi kuandika, kutamka, kukariri, nk
 
Ukiwaona Wanatembea Wasimamishe Waulize Ditopile Ramadhani Mzuzuri Wa Kinyelezi! The late former Dar Es Salaam RC
 
Back
Top Bottom