Majina haya yote ni ya Kiafrika-yanatukuza Uafrika. Heri kuitwa jina mojawapo kuliko fedheha ya kujiita kwa mfano Jane John, Michael Gabriel, Hamid Hemed au Hasina Bint Ali. Wenye asili ya majina haya-Wazungu na Waarabu hustaajabu sana Waafrika kuacha majina yetu na kujibambika majina yao ili tuonekane wastaarabu.
Hapa naona mantiki ya wazungu ba waarabu kuwapa watumwa majina mapya mepesi. Jina kama Ng'wizukulu Shisalyandumi Ng'wanang'wallu inaongeza gharama zisizo muhimu .. inahitaji muda mwingi kuandika, kutamka, kukariri, nk