Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

SINANDUGU MAKANZAGANGE MUUZA KARANGA ISEVYA TABORA
1.Mangungu Ndalala
2.Fredimo Amosta
3.Pumbua Kazungu
4.Ananilea Nkya
5.Mzawaru Mtwahiru
 
Kabla dini za Kikiristo na kiarabu hazijaaribu vichwa vya wazazi wa Kitanzania Watu walikuwa na majina mazuri na unique sana ya kiafrika halisi.

Haya maduduwasha ya wazungu na waarabu yamefanya watu waache kabisa majina yao
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
1.Nyambalafu Sagimembe Sagibarula gung'olokutwa Mwadega-Mwanafunzi UDSM 2004
2.Nakembetwa Mnofu Manyama-Kisarawe
3.Mabwema Mafusi-Umbwe
 
Kuna mzee anaitwa KABUNDUKI HATARI yuko pale bunda .

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…