Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Hivi Libaba bado yupo hai?
Mzee mkulima wa pasheni na mboga mboga
P. M Libaba aliishafariki miaka 4 au 5 iliyopita .
Alipostaafu alihamia kwake Ruvu na aliwahi kugombea Ubunge kupitia Chadema bahati mbaya chama hakikumpa ridhaa
 
Mbunge wa Chilonwaa,shabiki wa makolo Mh.Kuwayawaya Steven Kuwayawaya
 
Nikiwa nasoma sekondari, Kuna jamaa alikuwa anaitwa Makangira Mwidunda.... Hili jina nilikuwa nacheka sana....
Mwingine akawa anaitwa Jabischi Bwanjida....

Bantu names....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…