Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Tarugaba Nyakutununtu Infwabakachura sijui yupo hai huyu afande?

Ndugu Ndugumajani

Mwenyekiti Badokufa
 
Difficult Maskini Mahela mhitimu University of Arusha 2010, na mwalimu katika halmashauri ya Bariadi
 
Etyefyose wagagaikagilile bwiru girls-2015
ambilikile masapila mgaga wa chama tawala
heavenlight Livingstone taqwa 2007
mwasakafyuka mwakipesile nsumba 2010
 
heshima yako ndugu shikamoo mara saba du ulisoma sec zamani sana na naona ni zamani coz ndo miaka nlokua nazaliwa 1988-1990

Mkuu forest niliingia 1994 nadhan ww ndo ulikuwa unatoka.
Tulisoma na Shoka Charles Bangiri
 
Nili quote vibaya dogo. Jesacho
Nilitaka kujibu kwa muendelezo kwa alisema ni wa forest hill, naona umejiongeza
Kwa mujib wa maelezo yako unazaliwa sisi tayar tuko secondary
 
Nyakutununta ni wadhifa wa Kardinali yaani ni sawa na Mhadhama au His Emminance kmf Nyakutununta Kardinali Laurian Rugambwa
 
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)

Ndugu, MWITA MARANYA.
mwanzilishi wa uzi huu.
 
Back
Top Bottom