instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 345
Mkulo = anuss......
kimwera hiko jamani
kimwera hiko jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingunge Ngombale Mwiru- Mlezi wa chama cha waganga wa tiba asilia Tanzania.
heshima yako ndugu shikamoo mara saba du ulisoma sec zamani sana na naona ni zamani coz ndo miaka nlokua nazaliwa 1988-1990
Mkuu forest niliingia 1994 nadhan ww ndo ulikuwa unatoka.
Tulisoma na Shoka Charles Bangiri
afande kumaliga jkt jitegemee
Ha ha haa! Namfahamu huyu, utakutana naye pale getini.......ni bakora kwa kwenda mbele!
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)