Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

daah mmemsahau mtu maarufu sana. anaitwa MBONILE, yupo UDSM
 
Haya majina nomaa' Dr Kisenge kcmc hospital 2003-2008 , mama mamboro sombetini Arusha, kali zaidi ni ule uwanja mkubwa wa mpira wa migu kule Japani unaoitwa KUMAMOTO.
 
SHOSTEN ZAKAZAKA - Mkulima maarufu wa matunda Tanga
Mohammed Mbayuwayu - Nilifanya naye kazi miaka ya 70
ASP Kaswende - Alikuwa kamanda wa pilisi Dodoma,(sijui siku hizi yuko wapi)
 
Musembi Kibundu - Motfort Secondary schoo and Lupata Secondary School
 
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)

ulivyo wa ajabu, unaweza kupeleka kwa academician eti waijadili thesis yako upewe udk au uprof
 
  1. Kambarage Nyerere
  2. Mabere Marando
  3. Fundikira
  4. Fumbuka Ng'wanakilala
  5. Kijakazi Kyelula
  6. KIjakazi Mchujuko
  7. Makanyila Mwisongo
  8. Anyekwa Chilipweli
  9. Tusekile Kibonde
  10. Salanga Chilipweli
  11. Mboni Masimba
  12. Lusajo Kibonde
  13. Shani Mnyani
  14. Sima Mwombela
  15. Nkundwe Mwakasendo
  16. Chanja Mwombela
  17. Mosi Kipokola
  18. Chambi Msiagi
  19. KIsa Kilindu
  20. Mrambo Derua
  21. Nzota Kilonzo
  22. Kanyeka Ntuyabaliwe
  23. Tibu Mwandoro
  24. Andembwise Mwakanyamala
  25. kalimba Swere
  26. Kumi Mkono
  27. Ndabu Swere
  28. Mhoja madata
  29. Mbilizi Madata
  30. Nampombe Kibacha
  31. Nsane Ligati
  32. Buberwa Mutasa
    Usungu Mbelle
    Bwigane Magomela
    Bwigane Mbangula
    Mateo Mundeba (R.I.P)
    Kumalilwa s
    Shaka Kirigini
    Mandela Wakati
    Ngade Chabanga Dyamwalle
    Mwamshindo Rajab
    Bimkubwa Rajab
    Kazikupenda Chale
    Kadogo Ngula
    Masha Makata
    Mao Makata
    Yisambi Mboma
    Narego Mbago
    Sigo Mwapachu
    Chimpaya Ntagazwa
    Mpeli Nsekela
    Magambo Lakilang'anyi
    Wanseho Tulibao Mkisi
    Nesha Derua
    Kwizela Ntagazwa
    Nzagi Lakilang'anyi
    Mahiga Mapigano
    Mageta Opanga
    Maganga Liwali
    Gagi Limihagati
    Kapona Gombanila
    Mwanawetu Mbonde
    Pelelwa Shauri
    Irema Linjewile
    Mire Nyakilang'anyi
    Mwiga Kapya
    Akinyi Opanga
    Maua Daftari
    Sawaya Kilonzo
    Ngundilile Mwambenja
    Kizito Kihiwili
    Nyamwende Nyamka
    Tabasamu Ngongoseke
    Kibudia Mwaimu
    Faraja Kota

Zamani nilikua naona majina ya ajabu siku hizi naona ni majina ya kujivunia, yani ile feeling unakwenda nje ya nchi halafu watu wana shindwa tamka jina lako kwangu naona ufahari sana.

yaani mtoto wa kishua umenikumbusha mbali sana na hii list yako, wengi sana nawafahamu hapo na sijawaona siku nyingi daaaah
 
Interviewer: Mtahiniwa tafadhali tupe jina lako..Interviewee: TAKOTAKO WA PUMBUJE

Interviewer: Umesemaje?Interviewee: TAKOTAKO WA PUMBUJE

Interviewer: pumbav Toka Nje.. kazi Hakuna..Unaleta maskhara!!??

 
Mohamed Kalikung'ute wa Mpakani Primary School(Mabibo) - 1977-1983. RIP.
 
Ludungulwanyi Tumbulandembwe - mkulima nyanzwa kijiji cha ujamaa!
 
JOHN POMBE ya Tabu Magufuli....................ilitamkwa kwa mara kwanza alipotambulishwa kama askari wa mwavuli wa serikali ya ChebRAZA BEN! lakaini ikafutika na kuishia hapo kwenye POMBE
 
Interviewer: Mtahiniwa tafadhali tupe jina lako..Interviewee: TAKOTAKO WA PUMBUJE

Interviewer: Umesemaje?Interviewee: TAKOTAKO WA PUMBUJE

Interviewer: pumbav Toka Nje.. kazi Hakuna..Unaleta maskhara!!??


jina limemkosesha kazi.
 
Back
Top Bottom