Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

AHAHAHHAHAHHAHA yani nyie kha!
ila nashkuru kujua majina mengi hv ya watani zangu wanyakyusa na wasukuma
cc watu8 na M'Jr
 
Last edited by a moderator:
Ngudungi Masumbuko Mbumba-Bagamoyo (Magambani) High School 2009. kidato cha sita..

Mbuduma Ngongofyole Fyakulonda- Mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya msingi Michenzani..
 
Marekani Zanziba. Huyu jamaa alikuwa mwanariadha timu ya kata yetu Malampaka UMISHUMITA Maswa nadhani mwaka 1991.
 
Nnala Mwakanyamale,mhitimu wa Kibaha high school 2003 na Tumaini University 2006
 
Top ten wonderful names from Tanzania

1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO- Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA - Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE- Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE- Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA - Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI- Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE - Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)



nimecheka hadi basi wazazi tuwe tunaangalia jamani majina tukiwa tunawapa watoto huko ukubwani anayekuja kulitumia ni yeye nyie mliowapa ahh mmekaa mmetulia.kama hayo katika red
 
Hapa naona mantiki ya wazungu ba waarabu kuwapa watumwa majina mapya mepesi. Jina kama Ng'wizukulu Shisalyandumi Ng'wanang'wallu inaongeza gharama zisizo muhimu .. inahitaji muda mwingi kuandika, kutamka, kukariri, nk

mkuu inaongeza gharama kwa nani raha ya maana ya kitu hufurahiwa na wahusika sio watu wengine. kwa waafrika ina maana kwa wengine inaweza kuwa ujinga. kwani john walker tukilitafsiri kikwetu litakuwa zuri? bush je? waache watu wajinafasi kwa mila na desturi zao.

kwa waliosoma symblolic interactionism wataelewa sana kuwa kila kitu kina maana kwa watu fulani na kwa watu wengine inaweza ikawa ujinga mtupu. ndio maana tunajifunza kuchukuliana na kuheshimiana kwa kile ambacho wengine wanakiamini kuwa kizuri kwao. ili mradi tu isivunje miiko ya ujumla ya kidunia.
 
Pundugu-igp mstaafu
Shida Maneno
Omary Omary Omary
Hatari Kaitira Mchehe
Tatizo Uledi Komba
 
KUKUTIA OLE PUMBUNI hii ni katika kesi ya kikatiba ya kukutia ole pumbuni and orther v. AG and another ya mwaka 1992
 
NAKULAVYANGU NIACHENI. huyu ni mteja taasisi fulani ya fedha staff walikuwa wanashangaa sana hilo jina.
 
BOIMTOTO MATATIZO huyu alimaliza chuo TIA 2010 (advanced diploma in accountancy)
 
Back
Top Bottom