Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Chabwasi manyori
Ntimi mwakipaki
Naswiru tibanyendera
Mhagachi magaiwa.
Hawa walikuwa members wa Azania 97.
 
Haahahah du???? Mkajeuri Tumbotele - weruweru (hili jina nilivyolisikia mara ya kwanza assembly nikajua utani..... nilishangaa baada ya kujua ni jina haswa nikabaki kujiuliza wazazi wa huyu bidada walikuwa na maana gani!!!!!

Hahaha. Kweli linachekesha wazazi kumwita binti yao mwanamke jeuri!
 
Hatua Laini. Huyo nilisoma naye sekondari moshi technical school 1997
 
mshahara kanyawana ... darasa la saba lwandai primary school 2004 lushoto
 
ndugu
UFUDU MWAKAJINGA..
na ndugu

shwainkong bruuuu
 
Back
Top Bottom