mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Duh... Kuna wabongo
wanamajina ya ajabu sana....
Ongezea yako ukiona vipo
1. Ndugu TAMPERA
NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa
kidato cha sita shule ya
sekondari ya wavulana Tabora
mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA
MISALABA-Mhitimu wa kidato
cha sita shule ya sekondari
Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO
KICHECHE-Mwanafunzi wa
kidato cha kwanza shule ya
sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU
POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-
Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO
MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpi
shi mkuu wa kikosi cha 34 cha
Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA
PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza
miwa na maji baridi maarufu
pale magomeni makutano ya
barabara za Rashid Kawawa na
Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI
MWAIKUNGILE-Jaji wa
mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE
MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi
Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA
a.k.a KIMBA-Fundi majiko
maarufu Railway Gerezani Dar
es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA
TYETYETYE-Mhitimu wa chuo
kikuu cha Dar es Salaam,
mwaka 2001 fani ya sayansi ya
jamii (BA)
wanamajina ya ajabu sana....
Ongezea yako ukiona vipo
1. Ndugu TAMPERA
NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa
kidato cha sita shule ya
sekondari ya wavulana Tabora
mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA
MISALABA-Mhitimu wa kidato
cha sita shule ya sekondari
Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO
KICHECHE-Mwanafunzi wa
kidato cha kwanza shule ya
sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU
POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-
Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO
MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpi
shi mkuu wa kikosi cha 34 cha
Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA
PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza
miwa na maji baridi maarufu
pale magomeni makutano ya
barabara za Rashid Kawawa na
Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI
MWAIKUNGILE-Jaji wa
mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE
MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi
Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA
a.k.a KIMBA-Fundi majiko
maarufu Railway Gerezani Dar
es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA
TYETYETYE-Mhitimu wa chuo
kikuu cha Dar es Salaam,
mwaka 2001 fani ya sayansi ya
jamii (BA)