Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Muache rais akalale. Kesho ataendelea tulipoishiaWewe rais toa maamuzi tuendelee au mpaka kesho tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache rais akalale. Kesho ataendelea tulipoishiaWewe rais toa maamuzi tuendelee au mpaka kesho tena
Just relax mdogo mdogo utakuwa kwenye listNimesikitika kwenye list sijaonekana
Alale tu maana hakuna namna nyingineRais amechoka anataka kupumzika
Hahahaha karibu katika team makapukuUmenikumbusha jamaa kwenye wwe yeye akiingia tu cha kwanza ni kujitambulisha; my name iiiiiis Paul hymannn hapo Brock lesner yupo nyuma yake, hadi tumempachika jina la my name.
Bora afanye hivyoAlale tu maana hakuna namna nyingine
Njooni tucheze poolBora afanye hivyo
Alale tu maana hakuna namna nyingine
Prezidaa anacheza pool kitaa
Tunatuliza akili leoPrezidaa anacheza pool kitaa
Ki week end zaidiTunatuliza akili leo
Ila tusije pelekwa tukalime bureKi week end zaidi
Wanaanzaje kwa mfano??Ila tusije pelekwa tukalime bure
Askari wa bongo wana visa sanaWanaanzaje kwa mfano??
Wanakata stimuAskari wa bongo wana visa sana
Tunakomaa nao kibishi tuWanakata stimu
Mpaka kitaelewekaTunakomaa nao kibishi tu
Ndo manakeMpaka kitaeleweka