Top 10 ya nchi zenye utajiri wa madini Afrika, Tanzania haipo

Sisi tanzania tuna madini mengi lakini tumeyakalia tumeyakanyaga chini hatuyagusi hatutaki kuyatoa. Hiyo list ni ya nchi zinazoproduce kama nchi yako inayo madini imeyakalia haiwezi kiwa hapo kwenye list.
 
Twitter au ukweli? 🤣🤣🤣🤣
Kule Kahama saizi kumebakia mashimo tumadini twa kubangaiza twa bulyankuku ,Kahama mines tukishaisha 😅😅😅😅😅😅😅
Mara ya mwisho Kahama umeenda lini nazungumzia migodini sio kutafita mademu wa kishombeshombe 😂 😂 😂
 
Sisi tanzania tuna madini mengi lakini tumeyakalia tumeyakanyaga chini hatuyagusi hatutaki kuyatoa. Hiyo list ni ya nchi zinazoproduce kama nchi yako inayo madini imeyakalia haiwezi kiwa hapo kwenye list.
Mengi kama yapi mliyoyakalia? 😁😁😁😁
Zaidi ya chuma na makaa ya mawe yaliyopogwa marufuku Kuna nini kingine Cha kuvutia uwekezaji?

Chukua suluhu kaendelee kufukua
 
Mengi kama yapi mliyoyakalia? 😁😁😁😁
Zaidi ya chuma na makaa ya mawe yaliyopogwa marufuku Kuna nini kingine Cha kuvutia uwekezaji?

Chukua suluhu kaendelee kufukua
Kumbe huna akili kweli eeh




 
Wewe mbumbumbu uwe unaelewa,Jumlisha vimadini vyenu vyuuote mnavyobangaiza ila mapato yake Kwa Serikali Hayafiki hata Tilioni 1..

Nchi za Madini uchumi wao unaendeshwa na Madini sio kama Tanzania na ubangaizaji..

Acheni kupotosha watu.
 
Duh! Wewe upo mbali sana. Tanzania, achilia mbali madini, hata kwenye natural resources potential haiwezi kuingia kwenye top 15 za Afrika.

Top 15 African countries richest in natural resources

Boubacar Diallo



July 24, 2020



Economy, Energy

In general, any substance, organism, medium or object present in nature without human action and which in most cases is used to meet human, animal or plant needs is a natural resource. .

As the population and the human ecological footprint grow relentlessly, the sustainable management of natural resources has become a major issue. Africa is made up of the most divergent and converging countries with respect to their wealth of soil and subsoil. How to understand that Africa is not the richest continent in the world? This paradox is also remarkable on the continent because the countries richest in natural resources are also the poorest economically speaking, except for a few.

Here is a summary of the top 15 states richest in natural resources on the African continent.

1. Nigeria

Almost essential economy of the continent, it is the leading producer and exporter of crude oil. Also, it is the fifth Oil Producer in the world in the OPEC (Organization of Petroleum Exporting Countries). Oil thus represents 40% of the country’s gross domestic product. It also has other under-exploited natural resources such as gas, coal, gold, and bauxite. Employing 60% of the working population, its agricultural sector also remains under-exploited.


2. Botswana

The world’s leading producer of diamonds (by value), the majority of which are gem quality. He alone owns 35% of African diamonds. Beside these diamonds, gold, nickel, soda ash and copper are mined there.

3. South Africa

It is a nation with a huge, diverse mineral potential. It is notably world number one in the production of chromium, manganese, platinum, vanadium, vermiculite, and number two in the production of ilmenite, palladium, rutile and zirconium.

4. The Democratic Republic of Congo (DRC)

Every mobile phone contains coltan, and the DRC is the world’s largest producer. It is one of the giants producer of diamonds and copper in Africa, with respectively 34 and 13% of the total production of the continent. Finally, its mineral deposits are estimated at $ 24 trillion

5. Namibia

It has an annual income of which a quarter comes from uranium receipts. Its diverse mining industry is on the rise, with significant sales increasing year on year.

6. Mozambique

A major player in African aluminum production, with 32% of the total. It also exploits gas and coal.

7. Zambia

The main producer of copper on the continent, it is believed to house between 65 and 77% of the copper supply. An excellent conductor of heat, it is mainly used for electrical wiring in building construction. Allied with iron and other metals, it gives brass and bronze. The country is able to create jobs for its citizens, thus contributing to the gross domestic product.

8. Niger

Most commonly used in the nuclear power industry for power generation; its uranium represents 44% of the continent’s supply. Its exports represent 40% of the country’s total.

9. Zimbabwe
It has the second largest platinum deposit in the world. Its rich lands are 60% made up of ancient rocks, industrial minerals, mineral resources and base metals.

10. Egypt

Predicted to be one of the most powerful economies by 2030, Egypt owns major gas fields in the Mediterranean. The country has made structural investments in various sectors, including power generation, and the establishment of numerous industrial zones.

11. The Republic of Guinea

Renowned for the richness of its subsoil, which contains iron, bauxite, diamond, gold, uranium, petroleum, phosphate, and manganese. It alone would cover 95% of the continent’s bauxite production. It has enormous potential estimated at 40 billion proven tonnes of reserves. The quantity exploitation of its quality iron gives a figure of 100 million tons per year.

12. Ghana

With 15% of the continent’s total gold production, it ranks second behind the Rainbow Nation. Its subsoil is also full of manganese, bauxite, and diamonds. It is also the second largest cocoa producer behind the Ivory Coast

13. Libya

It has oil reserves estimated at 48 billion barrels. The largest on the continent, ninth in the world. It has the largest recoverable oil shale reserve in the world estimated at 26 billion barrels.

14. Cameroon

Africa in miniature, it is endowed with various riches of the soil and the subsoil. It contains oil, nickel, cobalt, manganese (estimated at over 54 million tonnes). Reserves of 200 million tons of rich iron, and 1.2 billion of poor iron, bauxite valued at over one billion tons. The country also has natural forest and agricultural resources such as plantains, cocoa and cotton.

15. Equatorial Guinea

From mining to discovering oil fields, it has been built. The country’s oil boom has dramatically improved the living conditions of its people.

Sijui kwa nini Watanzania wengi wanafurahia zaidi ujinga kuliko maarifa. Hata walipoambiwa kuwa Tanzania ni tajiri kiasi cha kuweza kuipa msaada US, wakapiga makofi na kushangilia. Wakatuabisha wote, kiasi cha kuonekana kama ni nvhi ya wajinga.
 
Tanzania donor country mbona sioni? 😜😜😜😜
 
Katika kutembea kwangu sehemu mbalimbali duniani nje ya Tanzania; nimekuwa nikiona dalili hizo kwamba Tanzania ina potential hiyo. Wenyeji wa kule nililikokuwa natembelea ndiyo wale walikuwa wananionyesha hivyo; ukiachilia mbali maelezo ya wataalamu walipo hapa nchini. Tuache siasa katika hili; tufanye siasa kwenye mambo mengine ila siyo katika hili!
 
Katika hili mzee naomba tuache siasa za makinikia. Sijasomea lakini nina uelewa wa kutosha; tufanyeni siasa kwenye mambo mengine ila siyo kayyika hili
 
Kwani madini nini? Kwa tafsiri yangu mimi madini ni rasilimali inayopatikana ardhini kwa hiyo hiyo list ya hizo nchi ni sababu uchimbaji wao na uwekezaji wao kwa mataifa hayo upo formal kwa sehemu kubwa na ndio maana nchi kama Congo inaoneka ya mwisho kwnye mtiririko sababu uchimbaji sehemu kubwa ni informal na mali ikipatikana inatoroshwa kwa njia za panya kwnda kwa moja hiyo list ya mataifa kuitakatisha ,hivyo bási orodha hapo juu ya mataifa yenye madini si kweli kama tunavyo aminishwa
 
Mafuta sio Madini? Ukiacha mafuta Kuna gas na aina zingine za Madini..

Kama una mashaka na List Anza ku google Nchi Moja Moja..

Kwa taarifa Yako Nchi za kijasusi zilishafanya utafiti kitambo sana Kwa hiyo Wana taarifa za kutosha.
Ndugu mafuta na gesi siyo madini! Ingia mtandaoni kasome maana ya Mineral.
 
Hizo taarifa ni za uongo labda useme madini yaliyochimbwa.
Lakini nchi ya kwanza KWA utajiri wa madini ni congo ya pili ni Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…