Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Kuzalisha na kuwa na hifadhi ya madini nadhani ni vitu viwili tofauti...unaweza ukawa na madini mengi lakini huzalishi vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwenye mineral rich Tanzania haipo popoteKuna tofauti kati ya mineral rich na mineral producing wording😜
Tanzania haipo kote kwenye Kuzalisha Wala kuwa na Hifadhi kubwaKuzalisha na kuwa na hifadhi ya madini nadhani ni vitu viwili tofauti...unaweza ukawa na madini mengi lakini huzalishi vizuri
Watanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri haipo?
Kwa mujibu wa jarida la economist intelligence Nchi 10 Zenye Utajiri wa Madini hapa Afrika ni zifuatazo
1.South Africa
2.Nigeria,
3.Algeria,
4.Angola,
5.Libya,
6.Egypt,
7.Ghana,
8.DR Congo,
9.Gabon,
10.Zimbabwe.
Sasa kama Tanzania hatumo kwenye hiyo list utajiri ambao huimbwa na Wanasiasa ni upi?
Maana hata kama ni Ardhi nzuri ya Kilimo hatuwezi ifikia South Sudan, Angola, Zambia, DR Congo nk.
Hivi utajiri wa Tanzania hasa ni upi? Au tafsiri ya Utajiri inayosungumzwa ni ipi hasa?
Takwimu kama hizo zinawekwa wazi kisiasa tu, kwa malengo ya yule anayezitangaza. Ni sawa na miaka ile ya tisini katikati takwimu zikasema Nigeria ina watu milioni 150 wakati ukweli ni kuwa hawakufika hata milioni 120 ni lengo fulani la kisiasa ambalo huja kujulikana miaka kadhaa ikiwa imeshapita.Wataalamu wanasema mpaka muda huu Tanzania imeshachima asilima 10% tu ya madini yote, na karibia nchi nzima ina mali kiasi kwamba ukitaka uchimbe kila kitu itabidi uwahamishe watu baadhi ya maeneo. Pale Mwadui zilipo nyumba za mgodi, inasemekena pale kuna mali imetulia
Waliowahi kunipa hizi takwimu ni wataalamu waliobobea; siyo wanasiasa na hayupo mtaalamu mwingine yeyote aliye ndani au nje ya nchi yetu anayeweza kuwazidi uelewa wataalamu hawaTakwimu kama hizo zinawekwa wazi kisiasa tu, kwa malengo ya yule anayezitangaza. Ni sawa na miaka ile ya tisini katikati takwimu zikasema Nigeria ina watu milioni 150 wakati ukweli ni kuwa hawakufika hata milioni 120 ni lengo fulani la kisiasa ambalo huja kujulikana miaka kadhaa ikiwa imeshapita.
Tuna utajiri mwingi sana wa madini hapa Tanzania kuliko hizo takwimu. Geologist wa kweli atakwambia juu ya ukweli huo.Waliowahi kunipa hizi takwimu ni wataalamu waliobobea; siyo wanasiasa na hayupo mtaalamu mwingine yeyote aliye ndani au nje ya nchi yetu anayeweza kuwazidi uelewa wataalamu hawa
Source?Hata kwenye mineral rich Tanzania haipo popote
Source?
Unajua maana ya Top 10.Shuleni kwenu ulifundishwa kwamba namba huishia kumi(10)tu?
Uranium mbona ni madini yenye thamani ndogo sana pamoja na kwamba ni mali ghafi ya kutengenezea silaha za nuklia pamoja na uzalishaji wa nishati ya umeme.Zimbabwe lithium inawabeba, congo ni madini aina zote tu, Angola, Nigeria, Algeria, Egypt, hao mafuta yanawabeba pamoja na cobalt, lakini huwezi sema Tanzania haina utajiri maana Uranium ya dodoma na singida bado, Nickel ya ngara bado, Lithium ya tukuyu bado unajikatiaje tamaa?
Mkuu kwanza aseme kama ni geologist tuanze kushusha hoja za kijiolojoa Kwa nini Tanzania Ina utajiri wa madini, lakini kama sio geologist ngoja tumuache aendelee kuamini alichokisoma kwenye chapisho lake.Tuna utajiri mwingi sana wa madini hapa Tanzania kuliko hizo takwimu. Geologist wa kweli atakwambia juu ya ukweli huo.
Shusha nondo mkuu na sisi tufaidike ambao siyo geos, anza na migod mikubwa, kiasi cha madini(reserve) na LOM, kwa kuanzia.Mkuu kwanza aseme kama ni geologist tuanze kushusha hoja za kijiolojoa Kwa nini Tanzania Ina utajiri wa madini, lakini kama sio geologist ngoja tumuache aendelee kuamini alichokisoma kwenye chapisho lake.
Watanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri haipo?
![]()
Top 15 African countries richest in natural resources - AfrikaTech
In general, any substance, organism, medium or object present in nature without human action and which in most cases is used to meet human, animal or plant needs is a […]www.afrikatech.com
Kwa mujibu wa jarida la economist intelligence Nchi 10 Zenye Utajiri wa Madini hapa Afrika ni zifuatazo
1.South Africa
2.Nigeria,
3.Algeria,
4.Angola,
5.Libya,
6.Egypt,
7.Ghana,
8.DR Congo,
9.Gabon,
10.Zimbabwe.
Sasa kama Tanzania hatumo kwenye hiyo list utajiri ambao huimbwa na Wanasiasa ni upi?
Maana hata kama ni Ardhi nzuri ya Kilimo hatuwezi ifikia South Sudan, Angola, Zambia, DR Congo nk.
Hivi utajiri wa Tanzania hasa ni upi? Au tafsiri ya Utajiri inayosungumzwa ni ipi hasa?
Sisi tutakuwa fukara kabisa.Kama hao wa kwenye top ten ndio wamechoka hivyo vipi sisi ambao hatumo kwenye listKwa hiyo kama haipo hapo kwenye Listi yako....!
Hitimisho lako ambalo hujaandika ni kwamba tunastahiri kuwa Masikini..!!!
Hapana ila muache kuhemka na vitu hamnaKwa hiyo kama haipo hapo kwenye Listi yako....!
Hitimisho lako ambalo hujaandika ni kwamba tunastahiri kuwa Masikini..!!!
It is no where on the listTanzania ni nchi ya kawaida sana hapa Afrika na dunia kwa ujumla ni vile tu Watanzania hatuna desturi ya kufuatilia mambo kwa undani na huu Uzi sababu umekwenda na takwimu unawatoa watu jasho,maana wanapenda zile stories za vijiweni vya kahawa za "unaambiwa,inasemekana"nk"