ABUBAKARY Barnabas
Member
- Nov 14, 2023
- 71
- 53
Kutokana na ukakasi wa mistari yake vichwa panz hawamuelew ila jamaa anajuaFid hana mchango wowote Kwa jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na ukakasi wa mistari yake vichwa panz hawamuelew ila jamaa anajuaFid hana mchango wowote Kwa jamii
Mpe sikio vina utajuaje tunaongelea nn NAKAZIAMpe sikio vina sio shoga kama wote ni kichwa haswa
Chindoman?jamaa wa watengwa
Ukiongelea flow na uandishi wa hip hop Anza na B. I. G Kisha weka eminame ndio pacRapper inatakiwa uwe mkali kwenye flows... Sasa yeye flows zake zimepoa habadiliki... Rappers Bora 5 wa muda wote, fuatilia flows zao ndo utajua kama huyu jamaa Yako anajua ku-rap kweli au anaunga vimistari.
Tupac, Notorious BIG, Jay Z, Nas Eminem
Huyu jamaa Yako anazumbaa sana kwenye beat Hana ladha kabisa... Kuandika anajua but Hana flows nzuri na Yuko predictable/ dormant
Wapi MWANA FA + MSOLOPA lakini AY anaflow tamu sana miaka nenda Rudi nazani umewabagua wengineKama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha katika matukio muhimu ya sanaa badala kuwashirikisha watumbuizaji peke yao ambao hawana mchango wowote zaidi ya burudani pekee.
Laiti kama serikali ingetambua michango na maudhui ya wasanii hawa wangeweza kuwatumia zaidi si tu kuburudisha, bali kuelimisha jamii.
Hii ni orodha ya wasanii watatu wenye uandishi bora ambao ukisikiliza utajiuliza ukubwa wa IQ zao mpaka kupata hizi tenzi.
3. Fid Q
Haina ubishi, kila mmoja anamfahamu, huyu ni mmoja kati ya nguli na miamba ya rap Tanzania, uandishi wake una ladha ya aina yake.Mfano
"kutaka kujua ukwel ni sawa na kumenya kitunguu kila ganda litakutoa chozi na kubaki macho juu juu"
View attachment 3122560
2. SONGA
Linapokuja suala la uandishi wa mistari, inajulikana Songa, pamoja na sauti yake ya upole isiyo na mbwembwe lakini IQ yake ni kubwa sana, mfano
"Wazazi wanasema nimeshakua
Ina maana… vibaya na vyema nimeshajua
Jua linazama tazama inanyesha mvua
Nakesha kwa dua kumuombea anayekesha akivua"
View attachment 3122568
1. DIZASTA VINA
Huyu katika ulimwengu wa Rap ana dunia yake! Hakuna msanii yoyote anayeweza au aliyewahi hata kumsogelea katika uandishi na ubora wa mistari yake.Ni mmoja kati ya rappers wenye IQ kubwa sana, Tukianza kumuelezea sifa zake nadhani hatutamaliza leo, Ila itoshe kusema ni hazina kubwa sana kwa taifa. Hata uhalisia wa maisha yake unajieleza, si mtu wa kujipendekeza, kushiriki siasa, kutafuta umaarufu, mapenzi n.k ni rapper anayeishi misingi ya rap kweli, kazi yake kushika kalamu na kuelimisha jamii. Ingekuwa Marekani tungeweza kumfananisha na Kendrick Lamar
Baadhi ya Lyrics zake:
"Eyo eyo kwa Insha na methali
Nawazika ka Ujamaa ulivyozikwa na Ubepari
Nishachoka na uongo so nafoka mpaka mtondogoo
Kwa world class Protocal, Internationally"
"Hizi tenzi ni pure, Niko real toka enzi nakua
Nili-rap kabla mapenzi sijajua
Kwenye game wanavyoenzi majuha
Wana track mbovu na wanafanya Media tours"
"Niko shega Bro
Genius ni Understatement half Man half God Paradox
Niite Vina just for lack of the better words
Literally, yet metaphorically undebatable"
"Sikutaka kutoka niliingia chaka
Nikatulia nikaisoma dunia utafikiria NASA
Nikawa fear factor, nikashika njia
Wabia wakanihofia kama wanavyoihofia Cancer"
View attachment 3122576