Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Wewe ngoja nikwambie kitu leo... kuna baadhi ya mikoa Tanzania imeamua kufanya "matukio" kama ni michezo ya ligi kuu, na kila wiki kuna headline mpya.
Ila sasa wiki hii ARUSHA imejifanya kama imepata jeuri ya kuingia kwenye ligi ya "mikoa ya matukio balaa"... 😂
Sasa nasoma habari eti arusha kuna rasta wamemua wamemtoa macho wamemnyonga na kumueka juu mti maskini ya mungu nikaanz kujiuliza au arusha nayo inataka kombe la matukio ya ovyo mbona sio mambo yao kabisa walistaafu mwaka 2006 matukio yao ya ujambazi kombe lilikuwa lao nikikumbuka hata tukio la ubungo machalii walitoka arusha tuachane na arusha
Sasa sikilizia hizi Top 5 mikoa week wiki hii ambayo naona lazima watamlipa ar Arusha mapema sana: kwa matukio yao ya kutisha
🥇 1. GEITA – (Hawa ni mabingwa sasa hivi)
Geita hawa kila wiki kuna jambo. Ukitaka matukio ya kusikitisha, kushangaza, na kuumiza kichwa – nenda Geita.
Wamekaa kama "Manchester City" wa matukio. Hawa wakiamua kuleta story, vyombo vya habari vinaweka breaking news saa 2 usiku. utasikia siku kakatwa kicha na kimepikwa wamekula chote
🥈 2. NJOMBE – (Wamekuwa bora sana kwa heading za Millard Ayo)
Njombe hawa wamesomea somo la kuandika matukio yenye "headline kali".
Mfano: “Mtoto avamiwa na watu wasiojulikana baada ya kutoka shule” mara mama achoma kichanga chake ..mara baba kauliwa na watoto zake
🥉 3. MBEYA – (Mzee wa rekodi, all-time top scorer wa matukio)
Mbeya alikuwa hatari miaka ile. Matukio yakikosekana Mbeya ilikuwa ajabu.
Siku hizi kaamua kupumzika, sasa analeta tu ajali kubwa za magari kila mwezi.
Yani kama hatujasikia "Lori lagonga daladala Mbeya" basi mwezi huu bado haujaanza ila juzi watoto watano watoto watano wamegongwa masikini ya mungu
⚔️ 4. TARIME – (Huyu ni striker wa ukweli wa matukio)
Tarime bana ni kama Erling Haaland wa Premier League – ukimuacha kidogo anakupiga hat-trick ya matukio.
Wao hawana midomo mingi – wanatenda tu. Polisi kazi, wananchi kazi, kila mtu na stress zake.
Hawa wakiwa kimya ujue wanapanga headline ya kutikisa..japo wanasema kumetulia ila wana tarime wanazunga tu kutulia najua ipo siku watapiga tukio funga kazi ..miaka ya nyuma kuna tukioa lilipigwa waliua familia nzima wakachanganya na mifugo yaani hiyo familia waliua kila kitu chenye uhai ...tukioa hili hadi leo halina mpinzani
👨🏽⚖️ 5. IRINGA – (Mkoa usio na utani na kesi za ubakaji)
Mahakimu kule hawana mchezo kabisa.
Yani mtu akisema “Samahani sikujua ana miaka 17” – majibu ni “Jela miaka 30!”
Nani kama Iringa? Sheria ndo sheria, bwana weeh! Yaani kule hata yule bibi alikutwa na mifupa ya digi digi wakamlima 25 kina jokate wakaenda kumtoa ....iringa umeiba kuku 30 ...headline zao mara nyingi ni mahamakani na miaka mingi ambayo kila mtu hubaki midomo wazi