Top 5 Mikoa inayoongoza kwa Matukio ya kutisha Tanzania

Mimi nachojua toka zaman namba moja alikuwa MARA,

GEITA kaja kuchukua nafasi ya MARA
 
Mbeya nakumbuka Ile ya kuchunwa ngozi na Ile ya kupigwa nondo kichwani halafu hiyo nondo inaenda kuning'inizia nyama buchani.
 
Binadamu kwa ujumla kwake ubinafsi ni kilema ama udhaifu wake, hii ndio imesababisha matukio kama hayo.

Na yataendelea kuwepo maadamu mwanadamu anaishi hapa duniani.

Ila hilo la kuua kila chenye uhai katika famila acha ibaki kuwa la kipekee kuwahi kutokea !
 
Upo sawa barabara ya kutoka Geita mjini kwenda Nkome tulivamiwa tulikuwa na gari ndogo watu walikatwa mapanga me nilipata upenyo wa kukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…