Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
mrisho ngassa --Yanga, mchango kwa timu mkubwa lakini hawamlipii deni la CRDB mpaka analia kama kapt. komba RIP
Claude Makelele alikuwa mtu muhimu sana Madrid,nilishangaa walivyomruhusu kuondoka,pengo lake lilionekana dhahiri..
Alonso had leo anakubalika madridkuu ukiongelea nation team angalia namba anayocheza ina competition kiac gn na co yye tu wapo had akina Cazora wanalia hivhiv
Juan Roman Riquelme...Huyu jamaa anakubalika mpk kesho huko kwao,hadi raisi wa nchi alimbembeleza jamaa kuchezea timu ya taifa japo umri ulikuwa umesonga na alitaka kustaafu.
Kama ya Gerrald alipata Gigs, Raul Gonzalez, Paul Maldin na wengine ila ni wachache.
Inaniuma Michael Owen aliikosa na Steve McManaman aliikosa pia.
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika
Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.
Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo
Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu
Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.
Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;
Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika
Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.
Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo
Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu
Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele
geremi njitap kama mwanangu Himid 23 MaoMario Jadel alichukua kiatu cha dhahabu cha ulaya from 2000..2001..2002..lakini historia haimkumbuki kabisa
Gaizka Mendieta mwanzilishi wa staili ya uchezaji kama wa kina Silva..Carzola..Iniesta etc
Gilberto Silva..Bila huyu Brazil isingeona world cup na Arsenal Invincible season isingewezekan..
Guti...huyu alikua ni mchawi sema ubishoo ulimzidi
Geremi Njitap..jembe
Samuel Etoo ...Barca,ilikuwa biashara ya hovyo,kumtoa Etoo na kumleta Ibrahimovic..