Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Alonso had leo anakubalika madridkuu ukiongelea nation team angalia namba anayocheza ina competition kiac gn na co yye tu wapo had akina Cazora wanalia hivhiv

Sawa, lakini Sifa wanayopewa akina Xavi hailingani na Alonso.
 
Juan Roman Riquelme...Huyu jamaa anakubalika mpk kesho huko kwao,hadi raisi wa nchi alimbembeleza jamaa kuchezea timu ya taifa japo umri ulikuwa umesonga na alitaka kustaafu.

Angalia caps zake National Team na uwezo wake...
 
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika

Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.

Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo

Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu

Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele
 
Kama ya Gerrald alipata Gigs, Raul Gonzalez, Paul Maldin na wengine ila ni wachache.
Inaniuma Michael Owen aliikosa na Steve McManaman aliikosa pia.

washabiki wa Inter Milan waliwahi kuingia Sansiro na shuka kuubwa lililokuwa na ujumbe ambao kwa kiswahili ungesomeka "UKIWA NDANI YA UWANJA WEWE NI ADUI YETU, ILA NJE YA UWANJA WEWE NI MFALME WETU PIA"
 
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika

Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.

Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo

Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu

Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele

Aleyn njoo usome hapo juu...
 
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.

Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;

Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?

Kwa Gilberto Silva hapana, Jamaa alipendwa sana, kwa kifupi pale arsenal fc, kikosi chote cha UNBEATEN, bado kina heshima kubwa.

Gooners walimtambua Gilberto kama the "invincible wall"
 
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika

Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.

Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo

Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu

Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele

Hivi stering naye anaweza mpira hadi awe mchezaji bora?
 
Mario Jadel alichukua kiatu cha dhahabu cha ulaya from 2000..2001..2002..lakini historia haimkumbuki kabisa

Gaizka Mendieta mwanzilishi wa staili ya uchezaji kama wa kina Silva..Carzola..Iniesta etc

Gilberto Silva..Bila huyu Brazil isingeona world cup na Arsenal Invincible season isingewezekan..

Guti...huyu alikua ni mchawi sema ubishoo ulimzidi

Geremi Njitap..jembe
 
geremi njitap kama mwanangu Himid 23 Mao
 
Kuna Fundi alikua aliibebesha Spain kombe la Euro 2008.. Huyu jamaa anaitwa Marcos Sena, nadhani alikua pia captain.. achana na kina xavi wala iniesta, hii ndo ilikua injini yao katka dimba la katkati, hili dimba aliligeuza kama geto lako.
Mbaya zaidi leo hakuna hata mmoja anayemkumbuka.. maybe ni kwasababu ya rangi yake.. ila kwangu ni one of the best midfielder niliowahi kuwaona.
 
Back
Top Bottom