Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #41
Kuna Fundi alikua aliibebesha Spain kombe la Euro 2008.. Huyu jamaa anaitwa Marcos Sena, nadhani alikua pia captain.. achana na kina xavi wala iniesta, hii ndo ilikua injini yao katka dimba la katkati, hili dimba aliligeuza kama geto lako.
Mbaya zaidi leo hakuna hata mmoja anayemkumbuka.. maybe ni kwasababu ya rangi yake.. ila kwangu ni one of the best midfielder niliowahi kuwaona.
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika
Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.
Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo
Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu
Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele
Clarence Seerdof.
Jamaa huyu ana uwezo wa kuisoma gemu na kuiua mid yenu na akatibua pasi zenu na yeye ndio akacontrol pale kati kama sebuleni kwake
daah! Dunia imemsahau shujaa wa Spain Euro 2008.
Me namkumbuka klabuni Villareal, Kikosi chao kilikuwa na watu, Juan Pablo Sorin, Roman Riquelme, Diego Forlan, Juan Capdevilla na wengineoo...
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.
Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;
Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?
by match:
Work done by Petr Cech was underrated during the CL final btn CFC and Bayern Munchen...much of the credit was directed to Didi!
Didi.. deserved those respect.
Mkuu umegundua hao watu wanashabihiana kwa Jambo gani wakiwa uwanjani!???
Nimewahi kuangalia mahojiano ya Claude Makelele... lakini pia hata mahojiano ya Christian Karembeu.. wote walizungumza jambo linalofanana..
"UKIWA UNACHEZA NAFASI YA KIUNGO MKABAJI... UNAKUA UNAFANYA KAZI KUBWA SANA LAKINI MASHABIKI WENGI HAWAIONI"...
Makelele akaongeza " hutakiwi kukaa sana na mpira, ukipora unagusa mara1 au mbili kisha piga pasi sahihi"
Mimi nadhani hizo nafasi zao ndo zinawafanyaga wengi wasiwape heshima stahiki kama Gang Chomba anavyofanya kwa Dinho au wale wa CR7.
kwangu hawa wamewahi kua underrated..
1.Daniel Sturridge akiwa Chelsea.
2.Most of DM's
3.Thomas Muller (hasa kipindi hii ya Guardiola... jamaa ananikela sana, anafanya hadi mashabiki wamuone Muller ni wa kawaida)
4.Haruna Moshi Boban... moja kati ya AM bora kipindi cha karibuni, lakini sijui kwa nn ... au mibange.!?
Lucas Leiva
wakuu kuna beki mkali kuliko chielini ila azungumzwi sana ajachuja tangu akiwa liver had I barca
Chief, Alonso Madrid aikuwa anaheshimika sana, alikuwa na a.k.a 'El Jefe' ikimaanisha the boss. Alikuwa na uwezo wa kumkoromea hata Cristiano and get away with it, ashawahi kukiri hilo hadharani. Na hata alivyoondoka kwenda Bayern ilikuwa his own wish, Madrid wakatoa Baraka.